Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau yule Padri aliyepigwa risasi kule Zanzibar na makanisa kuchomwa moto? Au ulikuwa hujazaliwa?Kasemaje?mumjibu kwa hoja sio kusema afukuzwe Tanzania watu hawajahi kuuwana sababu ya dini!
Kelele za kijinga, je km amemwalika..huo ujumbe wako unaleta maana?Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao.
Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni jasho na jitihada nyingi za muasisi wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere (Mwenyezi Mungu Umjalie Pumziko Jema la Milele).
Baada ya jitihada hizi za watangulizi wako, Rais Samia usikubali kuingia kwenye historia mbaya kuwa wewe ulikuwa mtawala wa kwanza kuruhusu mambo yanayopalilia chuki na ugaidi wa kidini.
Kuna mtu ameingia nchini, mtu huyu ni mhalifu, nchini kwake India amepigwa marufuku kuonekana na anatafutwa kwa kuhamasisha ugaidi. Mataifa mengi Duniani, yamempiga marufuku kuonekana katika mataifa yao kutokana na mafundisho yake hatari kwa usalama wa Dunia.
Mtu huyu anayedaiwa kuendesha midahalo ya kidini ni mtu ambaye amesikika mara kadhaa katika mihadhara yake akitamka kuwa waislam wote wanatakiwa kuwa magaidi dhidi ya wale aliowaita ni maadui wa uislam.
Hivi kweli waislam wa Tanzania wamekosa watu wa kuwafundisha watu kuhusiana na imani yao mpaka aletwe mtu ambaye anatafutwa kwa uhalifu na mafunfisho ya uovu?
Rais ingilia kati, usiruhusu watu wahalifu kuja kupandiza mbegu za chuki na ugaidi nchini mwetu. Kinachopandwa leo na watu waovu kama huyo mhubiri, matunda yake yatakuwa kuvisumbua vizazi vyetu vya baadaye.
Dini haifanyiwi mdahalo wala mashindano, dini hufundishwa na kuhubiriwa.
Samia, wewe ni muislam, na huyu mhubiri mhalifu anayetafutwa, ni muislam, ukiruhusu haya mambo ya kidini yanayokiuka misingi ya utengamano wa Taifa letu, inaweza kuleta tafsiri mbaya kwa watu wengine. Usikubali hilo litokee, litakuathiri sana wewe binafsi na Taifa letu.
Mshikamano wetu, umpja wetu, vinatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.
Mbona mnateseka kiasi hiki kila siku kulalama ? Kwa Nini Magalatia mmekuwa hovyo kiasi hiki wakati mnadai kulalamika sana ni inferiority complex.Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao.
Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni jasho na jitihada nyingi za muasisi wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere (Mwenyezi Mungu Umjalie Pumziko Jema la Milele).
Baada ya jitihada hizi za watangulizi wako, Rais Samia usikubali kuingia kwenye historia mbaya kuwa wewe ulikuwa mtawala wa kwanza kuruhusu mambo yanayopalilia chuki na ugaidi wa kidini.
Kuna mtu ameingia nchini, mtu huyu ni mhalifu, nchini kwake India amepigwa marufuku kuonekana na anatafutwa kwa kuhamasisha ugaidi. Mataifa mengi Duniani, yamempiga marufuku kuonekana katika mataifa yao kutokana na mafundisho yake hatari kwa usalama wa Dunia.
Mtu huyu anayedaiwa kuendesha midahalo ya kidini ni mtu ambaye amesikika mara kadhaa katika mihadhara yake akitamka kuwa waislam wote wanatakiwa kuwa magaidi dhidi ya wale aliowaita ni maadui wa uislam.
Hivi kweli waislam wa Tanzania wamekosa watu wa kuwafundisha watu kuhusiana na imani yao mpaka aletwe mtu ambaye anatafutwa kwa uhalifu na mafunfisho ya uovu?
Rais ingilia kati, usiruhusu watu wahalifu kuja kupandiza mbegu za chuki na ugaidi nchini mwetu. Kinachopandwa leo na watu waovu kama huyo mhubiri, matunda yake yatakuwa kuvisumbua vizazi vyetu vya baadaye.
Dini haifanyiwi mdahalo wala mashindano, dini hufundishwa na kuhubiriwa.
Samia, wewe ni muislam, na huyu mhubiri mhalifu anayetafutwa, ni muislam, ukiruhusu haya mambo ya kidini yanayokiuka misingi ya utengamano wa Taifa letu, inaweza kuleta tafsiri mbaya kwa watu wengine. Usikubali hilo litokee, litakuathiri sana wewe binafsi na Taifa letu.
Mshikamano wetu, umpja wetu, vinatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.
Ww hiyo chuki dhidi ya waisilam iliyo kujaa mpaka matakoni umefundishwa na nani?Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao.
Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni jasho na jitihada nyingi za muasisi wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere (Mwenyezi Mungu Umjalie Pumziko Jema la Milele).
Baada ya jitihada hizi za watangulizi wako, Rais Samia usikubali kuingia kwenye historia mbaya kuwa wewe ulikuwa mtawala wa kwanza kuruhusu mambo yanayopalilia chuki na ugaidi wa kidini.
Kuna mtu ameingia nchini, mtu huyu ni mhalifu, nchini kwake India amepigwa marufuku kuonekana na anatafutwa kwa kuhamasisha ugaidi. Mataifa mengi Duniani, yamempiga marufuku kuonekana katika mataifa yao kutokana na mafundisho yake hatari kwa usalama wa Dunia.
Mtu huyu anayedaiwa kuendesha midahalo ya kidini ni mtu ambaye amesikika mara kadhaa katika mihadhara yake akitamka kuwa waislam wote wanatakiwa kuwa magaidi dhidi ya wale aliowaita ni maadui wa uislam.
Hivi kweli waislam wa Tanzania wamekosa watu wa kuwafundisha watu kuhusiana na imani yao mpaka aletwe mtu ambaye anatafutwa kwa uhalifu na mafunfisho ya uovu?
Rais ingilia kati, usiruhusu watu wahalifu kuja kupandiza mbegu za chuki na ugaidi nchini mwetu. Kinachopandwa leo na watu waovu kama huyo mhubiri, matunda yake yatakuwa kuvisumbua vizazi vyetu vya baadaye.
Dini haifanyiwi mdahalo wala mashindano, dini hufundishwa na kuhubiriwa.
Samia, wewe ni muislam, na huyu mhubiri mhalifu anayetafutwa, ni muislam, ukiruhusu haya mambo ya kidini yanayokiuka misingi ya utengamano wa Taifa letu, inaweza kuleta tafsiri mbaya kwa watu wengine. Usikubali hilo litokee, litakuathiri sana wewe binafsi na Taifa letu.
Mshikamano wetu, umpja wetu, vinatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.
Tz hakuna mshikamano na umoja wowote bali kinacho endelea ni unafiki.Mshikamano wetu, umpja wetu, vinatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.
Mungu baba Ibariki Tanganyika
Wamjibu kwa hoja Waislamu wenzake.Kasemaje?mumjibu kwa hoja sio kusema afukuzwe Tanzania watu hawajahi kuuwana sababu ya dini!
Kuutaja ukristo tatizo liko wapi kama huna cha kumuuliza kaa kimya akikosa maswali ya kuulizwa atakwenda zake!Wamjibu kwa hoja Waislamu wenzake.
Mkristo ana haja gani kumuuliza Naik kuhusu Dini ya Kiislamu au ya Kikristo ?
Yeye ni Askofu au Mchungani?
Majibu ya Naik ni kwa mujibu wa Dini ya Kiislamu na Qurani anataka Wakristo wamwulize maswali kwa lengo lipi ?
Yaani Wakristo wafundishwe maswala ya Dini yao na Mwislamu.
Kwani yeye Naik anaukubali Ukristo?
Na kama sio Mkristo, anawataja Wakristo kwa muktadha gani ?
Weka mihemko pembeni. Toa maoni yako kwa utashi wa hekima.Naamini kabisa kama huyu bwana mafundisho yake yangekuwa asilimia mia moja ni ugaidi basi serikali isingemruhusu kuja hapa,kwakuwa kabla ya kuja kwake lazima kwanza aombewe kibali
Huyu ni mwanazuoni wa kiislamu ambaye ana mahubiri mengi mazuri sana tu,na anasilimisha wasio waislamu wengi sana kwa mafundisho yake,huenda kwa wasio waislamu wanamuogopa kwakuwa mafundisho yake yanatoa mwanga kuhusu imani na kumuamini mungu mmoja
Huyu mahubiri yake nimeyashuhudia kupitia PEACE TV ,ni mlinganiaji mzuri sana wa dini na mhubiri mzuri pia
Sasa ni rahisi sana watu kumuamini mtoa mada kwakuwa huwa tunapenda kupokea mambo kibubusa tu bila kufanya utafiti,na hii ndio hulka ya watu wavivu,hawana mda wa kutafiti ukweli wa mambo
Kwahiyo tusiwe wepesi wa kupokea habar na kuiamini moja kwa moja,binafsi nasema mtoa mada anaandika kwa chuki zake binafsi na sio hali halisi ilivyo
Una hoja gani kuna asiye kujua ulivyo na chuki dhidi ya uislam ww punguani?Hoja ni kwaajili ya watu wenye akili timamu. Wewe haikuhusu.