Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais.
Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko mkuu wa taifa wataenda zaidi ya hivi tunavyosguhudia sasa.
Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko mkuu wa taifa wataenda zaidi ya hivi tunavyosguhudia sasa.