Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Sina kabisa tatizo na kusema kuwa leo watu wamefanya kweli na ni kinyume na nilivyokuwa nategemea.Wewe si ulikuwa unawakebehi na kuwadhihaki waandamanaji humu kila leo? Kuna ugumu gani kuomba radhi kwanza kabla ya yote?