Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
This is a watershed moment for the country.Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais.
Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko mkuu wa taifa wataenda zaidi ya hivi tunavyosguhudia sasa.
Mkuu unazungumzia kuapishwa tena? Huyu kwa namna yoyote hana uhalali kabisa wa kuendelea hata kwa sekunde. Mahali pake ni jela.Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais.
Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko mkuu wa taifa wataenda zaidi ya hivi tunavyosguhudia sasa.
This is huge...This is a watershed moment for the country.
A day where the young people crossed the rubicon of fear.
Wow! Just wow!
Nakumbuka kilichotokea kwa Mwai Kibaki aliapishwa usiku wa manane IkuluMkuu unazungumzia kuapishwa tena? Huyu kwa namna yoyote hana uhalali kabisa wa kuendelea hata kwa sekunde. Mahali pake ni jela.
Mkuu ule msimamo wako vipi nado unawadharau watanzania.This is a watershed moment for the country.
A day where the young people crossed the rubicon of fear.
Wow! Just wow!
💯%.This is huge...
Labda watu wamechoka. Acha wakapumzike kwanza. Wanastahili.Kosa ambalo limefanyika ni kukubaki kwenda kulala majumbani kwetu, ilitakiwa raia wakaze hivyo hivyo mpaka kieleweke na hivi jeshi lilikuwa upande wa wananchi!
Yes!Mzee tunapambana watu wakachome hiyo tume
Sasa sijui kesho wataanzia walipoishia? Ila.raia walikuwa wamepata support ya maana sana kutoka jeshini! Yote haya ni ushauri mbovu wa Kikwete!Labda watu wamechoka. Acha wakapumzike kwanza. Wanastahili.
Well, uzuri wangu mimi huwa sipingani na macho yangu.Mkuu ule msimamo wako vipi nado unawadharau watanzania.
Mkuu unaharibu sasa , Hao wanasogelewa kimyakimya , wakikutwa wanawekwa kati nakusogezwa kwa vijana wamalizane ,huko jela wakafanye nini?👺👺Kwanza hadi saivi mafwele na ma RPC wote wanatakiwa kuwekwa ndani na JWTZ
This is a watershed moment for the country.
A day where the young people crossed the rubicon of fear.
Wow! Just wow!