GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe si ulikuwa unawakebehi na kuwadhihaki waandamanaji humu kila leo? Kuna ugumu gani kuomba radhi kwanza kabla ya yote?
Kwa kweli hata mimi nilikuwa nimezoea kusema Tanzania tuna uhaba wa vijana! Kwa hiki walichofanya leo heshima zote nawapa! Sasa tumeanza kujitambua! Na kesho waendeleze mpaka Bibi amwage mboga!
 
wana mpango wa kwenda kuapishana Zanzibar within 48hrs ,
 
This is a watershed moment for the country.

A day where the young people crossed the rubicon of fear.

Wow! Just wow!
Now I can see you are astonished by the Gen Z bold move, let's join them and build the momentum to the finish line.
 
Waache wamuapishe sisi tutampindua hakuna kulala mpaka watangaze kakimbia nchi bila hivyo maandamano hayasimami.

Walidharau NRE sasa wanadharau mgomo wa kumchagua mpendwa wao.

Tinafahamu wanalunda vyeo vyao lakini tuombe wananchi wasichoke kuandamana, hata wao watajibu.
 
Huko Zanzibar sijui wapi kunaendekaje wazee , mbona bado mnamioyo migumu sana aisee ,wajuba ngoma ishaisha hii dah! nyie tulieni.
 
Kwa kweli hata mimi nilikuwa nimezoea kusema Tanzania tuna uhaba wa vijana! Kwa hiki walichofanya leo heshima zote nawapa! Sasa tumeanza kujitambua! Na kesho waendeleze mpaka Bibi amwage mboga!
Waliposema wanaandamana siku ya uchaguzi, nikajua watawala hawana ujanja wa kuzuia. Wana uwezo wa kuzuia maandamano ya sehemu moja, sio multiple locations!
 
Hata akiapishwa tunajua uchaguzi ni batili na Samia aka mama mwenye kitambi ambaye hata afya yake ameshindwa kuidhibiti, hawezi kuongoza nchi yetu, hawezi kutubaka, kutulawiti, kututesa na kutuua tena, tumeamua, akijitangaza na kuwekwa kinguvu na Masaju, mahakama na ikulu zake zitawaka moto. Namkumbusha tu, Samuel Doe wa Liberia alifanywa nini, haya maandamano yetu hayaishi leo, tutaendelea hadi tufikie mwisho wake ambao ni kuhakikisha anaondoka, hawezi kuongoza tena, amepoteza legitimacy ya kuongoza nchi yetu. ICC wanamsubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…