Wito wa kudumisha amani. Tusibaguane kiTanganyika na kiZanzibari

Wito wa kudumisha amani. Tusibaguane kiTanganyika na kiZanzibari

masuala ya africa kuungana ayo mambo ni magumu mzee, ni ngumu sana. Wafrika ni nyani tuliochangamka.
Mimi naamini kama sio sisi basi vizazi vyetu vitakuja kuungana hata kama itakuwa ni kiuchumi tu.
 
Ni maoni yako. Una haki hiyo.
Mzanzibari anaweza akawa kiongozi bara lakini wabara hawawezi kuongoza zanzibar. Na kwenye umiliki wa ardhi ni hivyo hivyo
Mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Mtu akianza na Ndugu Zangu, kinachofuata ni pumba.
 
Anayesema tudumishe amani ni tapeli wa mali za umma, Mm naitambua Tanganyika tuu
 
Hakuna amani bila haki, Tanzania hakujawahi kuwa na amani Wala haki, Tanzania Kuna uvumilivu.

Sasa watanganyika wamepotez uvumilivu
Una Chief of Staffs, Johari aliuza bandari sasa hivi ni mwanasheria mkuu wa serikali.

Viongozi wengi walioletwa kutoka Zanzibar kazi yao, assignment yao ni moja tu. kuwafunga, kuwatesa, kuwaua vijana, mabinti, watoto wa Tanganyika.

KMKM wameletwa bara kuua Watanganyika Unataka tuwape jina gani tuwaite Wanigeria?
 
Wazanzibari wameua maelfu ya Watanganyika ili Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika. Natoa wito kwa Watanganyika kuanza kuwafanyizia Wazanzibari walioko huku Tanganyika, jino kwa jino.
 
Mzanzibari anaweza akawa kiongozi bara lakini wabara hawawezi kuongoza zanzibar. Na kwenye umiliki wa ardhi ni hivyo hivyo
Mambo ya ajabu kabisa haya.

una focus na vitu vya kipuuzi kabisa
 
Kazi yangu mimi saivi huku Jf n kuwahaasa vijana waache vurugu kupigana na serikali,hawatapata chochote zaidi ya maumivu yao na familia zao!
Mwenye masikio na askie!!
 
Tushapiga hatua kwenye ubaguzi sasa tumeanza wa bars na wa viziwani, wachache wanataka ku control wenge haturud nyuma
 
Fanya kutazama ni wapi Zanzibar ana advantage kuliko Tanganyika kisha angalia Muungano ni faida kwa nani zaidi?
1. Je Msukuma kutoka Sengerema anaweza kwenda kumiliki nyumba Unguja? Achilia mbali ardhi? Lakini kuna wazanzibari wangapi wana mashamba mpaka tunduma ndani huko, wanalima mpunga?
2. Je Mmeru kutoka Arusha anaweza kwenda kuwa Kiongozi ndani ya Pemba? Ila kuna wapemba wangapi wamekaa na kuwa mabalozi huko Arusha bila tatizo?

NB: MUUNGANO UNAMPATIA ZANZIBAR GG WAKATI TANGANYIKA ANAPIGWA K.O MAPEMA SANA.
 
Wazanzibari wameua maelfu ya Watanganyika ili Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika. Natoa wito kwa Watanganyika kuanza kuwafanyizia Wazanzibari walioko huku Tanganyika, jino kwa jino.
Hizo ni kauli za uchochezi na uvunjifu wa Amani, unaweza kukamatwa na kupelekwa mahakamani na hao watanganyika wenzio, kuwa makini.
 
Fanya kutazama ni wapi Zanzibar ana advantage kuliko Tanganyika kisha angalia Muungano ni faida kwa nani zaidi?
1. Je Msukuma kutoka Sengerema anaweza kwenda kumiliki nyumba Unguja? Achilia mbali ardhi? Lakini kuna wazanzibari wangapi wana mashamba mpaka tunduma ndani huko, wanalima mpunga?
2. Je Mmeru kutoka Arusha anaweza kwenda kuwa Kiongozi ndani ya Pemba? Ila kuna wapemba wangapi wamekaa na kuwa mabalozi huko Arusha bila tatizo?

NB: MUUNGANO UNAMPATIA ZANZIBAR GG WAKATI TANGANYIKA ANAPIGWA K.O MAPEMA SANA.
Kila Mzanzibar ni Mtanzania , sio Kila Mtanzania ni Mzanzibar. Ukielewa Hilo halitokupa shida Tena suala la muungano
 
Back
Top Bottom