Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
1. Sasa ? Aboud Jumbe, Ali Hassan Mwinyi na Husen Mwinyi ni Watanganyika. Unasemaje?Mzanzibari anaweza akawa kiongozi bara lakini wabara hawawezi kuongoza zanzibar. Na kwenye umiliki wa ardhi ni hivyo hivyo
Mambo ya ajabu kabisa haya.
2. Muungano ulioasisiwa na Nyerere, Mtanganyika, ndivyo ulivyowekwa. Ni wakati sasa kuubadilisha. Kazi kwenu. Onesheni kwa vitendo na siyo kubwabwaja kwenye keyboard.