1. Sasa ? Aboud Jumbe, Ali Hassan Mwinyi na Husen Mwinyi ni Watanganyika. Unasemaje?Mzanzibari anaweza akawa kiongozi bara lakini wabara hawawezi kuongoza zanzibar. Na kwenye umiliki wa ardhi ni hivyo hivyo
Mambo ya ajabu kabisa haya.
Halafu wewe mbona huitii serikali yako? JF imefungiwa wewe unaipata vipi kama huvunji sheria? Ulitakiwa uwe mfano wa kuitii serikali wewe kama chawa mwaminifuKazi yangu mimi saivi huku Jf n kuwahaasa vijana waache vurugu kupigana na serikali,hawatapata chochote zaidi ya maumivu yao na familia zao!
Mwenye masikio na askie!!
So it's upon you decide. Hurry up.I hate this type of union
Wewe ni mgeni labda!Tupitie njia za mazungumzo kuweka mambo sawa na kupitia njia za amani kudai haki zetu.
si mlitaka wenye kuvamia sasa mnalia kitu gani. Hizo ndizo raha za uvamizi, tulizipata sisi sasa tumewaletea na nyinyi. Mliambiwa zamani huu si muungano hamkusikia sasa tumbili amekosa miti amewavamiaAmani ya nyoooooko!
Hamuwezi kuleta vibaka kutoka Zanzibar Kuja Kuuwa watanganyika,hili halikubaliki na lazima litakipiwa kisasi Kwa namna yeyote Ile!
Umelewa bangi za Nyerere , adui mkubwa ni huyo mnyama aitwae CCMMange ni adui wa taifa kwa sasa
Fanya kutazama ni wapi Zanzibar ana advantage kuliko Tanganyika kisha angalia Muungano ni faida kwa nani zaidi?
1. Je Msukuma kutoka Sengerema anaweza kwenda kumiliki nyumba Unguja? Achilia mbali ardhi? Lakini kuna wazanzibari wangapi wana mashamba mpaka tunduma ndani huko, wanalima mpunga?
2. Je Mmeru kutoka Arusha anaweza kwenda kuwa Kiongozi ndani ya Pemba? Ila kuna wapemba wangapi wamekaa na kuwa mabalozi huko Arusha bila tatizo?
NB: MUUNGANO UNAMPATIA ZANZIBAR GG WAKATI TANGANYIKA ANAPIGWA K.O MAPEMA SANA.
Na sijakulazimisha ufuate upeo wangu! Ndio maana ukawa na utimamu wako tofauti mkuu!hapo ndipo upeo wako ulipoishia
Vitendo vimeshaanza. Chukua popcorn ufatilie1. Sasa ? Aboud Jumbe, Ali Hassan Mwinyi na Husen Mwinyi ni Watanganyika. Unasemaje?
2. Muungano ulioasisiwa na Nyerere, Mtanganyika, ndivyo ulivyowekwa. Ni wakati sasa kuubadilisha. Kazi kwenu. Onesheni kwa vitendo na siyo kubwabwaja kwenye keyboard.
Nasubiri kwa hamu. Sasa naona ukombozi umekaribia ikiwa hii ni kweli, ila kwa ninavyokujueni najua hakuna kitu. Munatishwa na kivuli chenu. Kwenu Zanzibar ni tishio kuwa pekee. Hii ni kwa mujibu wa Nyerere, Sita, Lukuvi and the like na bahati nawe ni miongoni mwao. Nasaha zangu kwenu: musichelewe.Vitendo vimeshaanza. Chukua popcorn ufatilie