Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mimi nilikwenda kule but miaka hiyo, full course walikuja wakabeba almost wote. Ni wachache sana walirudi kitaaBro ni heri kama mtu anaweza fanya chochote mtaani cha kumuingizia hela ni heri akaendelea nacho nasio kwenda kule.
Niliwahi kuwa kule miaka ya nyuma hali ni mbaya sana haswa kama hauna taaluma iliyoshiba na Mkubwa nyuma yako.
Nakumbuka kambi yetu walikujaga wakawabeba watu wawili tu kwenye interview moja ya mambo ya urubani na sio kama hawakuwepo watu wenye kisomo upande huo.. (Walimchukua mtoto wa kiongozi mmoja hivi pamoja na rafiki yake tu.)
Nina ndugu na jamaa kadhaa walienda na waliporudi walikuwa kwenye majuto.
Posho ya kuke haitakiwi kukulevya
Mostly walichukua wenye elimu, i remember dimplomas wengi na degrees waliondoka
Japokuwa nakubaliana na wewe kwamba kama huna elimu kule sio path sahihi