Mijadala Migumu
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 380
- 422
Vipi kwenye bajaji kajipata au bado anawaza majeshiKuna mate wa primary, yeye aliishiaga 4m 4, akaenda huko JKT.
kakaa huko kambiniii miaka 4, karudi kitaa hana jipyaa wala ramani.
Afu kwao ni apeche alolo, walitegemea yeye atusue awe mkomboz
Sahivi ni Dereva Bajaji, ila ukikaa nae unaona hayuko sawa km mwanzo.
Hasira, chuki, jazba, ndo zimejaa hapo. Namsikitikia kwa kwelii.
Kakata tamaa kabisa. Lol
Kujila ndio kufanyaje😀😀😀siwezi mimi kwenda kujila bila manufaa kaka
Apeche aloloHawa wasimamizi wa mitihani ya std 4 na 7? Wana maisha gani?
Wengine hata sare zimechoka, na kununua mpya hawawezii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona sijaelewa barua inaonesha muda wakuripoti kambini baada ya usahili lakini muda wausahili haukuainishwa au mm ndio sijaelewa ? Please naomba kueleweshwaWazee niaje
Jkt yazindua goma jipya 2024, mchakato wa maombi kuanza mosi 2024, oktoba.
Mshindwe ninyi tu!
View attachment 3107340
View attachment 3107341
Kama ni huo nshapitwa na fursaSio zaidi ya 21...au nakosea
Usahili unaanza leo tarehe 1 October na watakaopata wataenda kuanza vikosin tarehe 1-3 mwez wa 11Mbona sijaelewa barua inaonesha muda wakuripoti kambini baada ya usahili lakini muda wausahili haukuainishwa au mm ndio sijaelewa ? Please naomba kueleweshwa
Sina uhakika sanaKama ni huo nshapitwa na fursa
Uraian wakafanye nn?Hivi JWTZ, Magereza, Uhamiaji, Police Tanzania, GSO na TISS bado wanachukua vijana JKT kama kipaumbele au siku hizi wanaenda uraiani moja kwa moja??
Uraian wakafanye nn?
Uraian wakafanye nn?
Uraian si wanaenda kubeba watoto wao
Nini kimekukumba kijana?NARUDIA TENA KWA UCHUNGU USIENDE JKT
Sasa wewe mbona ukaachwa kwa mataa. Maisha yakakutandika ukachakaa wenzio Leo hii ni ma-LuteniMimi nilikwenda kule but miaka hiyo, full course walikuja wakabeba almost wote. Ni wachache sana walirudi kitaa
Mostly walichukua wenye elimu, i remember dimplomas wengi na degrees waliondoka
Sikuachwa, nilibahatika kuwa mmoja wapoSasa wewe mbona ukaachwa kwa mataa. Maisha yakakutandika ukachakaa wenzio Leo hii ni ma-Luteni
WALAU WANGEKUWA WANAWAPATIA HATA MITAJInashauri tu kama una elimu au ujuzi fulani unaotambulika maybe diploma au degree ya kitu fulani komaa tu mtaani tafuta visehem ujishikize muda huo unausoma mtaa.. kujitolea nikama kufata odds 15 za ugenini kwa laki mbili.. vijana wengi bado wanaamini ukienda huko una asilimia kubwa kuajiriwa majeshini kumbe uhalisia sio kweri leo nimekutana na ndugu yangu mmoja sikujua kama alikua JKT kumbe kamaliza mkataba siku sio nyingi amerudi mtaani hana ramani yoyote hii sio stori ni ukweri kabisa jamaa anasema kama kuna kosa aliwahi kufanya ni kwenda kujitolea amepoteza kila kitu muda na fursa kibao zimempita mtaani... serikali pia iliangalie ili swala kwa upana mkubwa sana imagine 2 years sometimes above unajitolea kulima mashamba ya watu kisha unarudishwa nyumbani inauma sana
Mi ndio nshapitwaSina uhakika sana
Hamna ngoja nikupe umri kulingana na level ya elimu...Mi ndio nshapitwa