Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

Siku zote ukweli ni mfupi na uongo ni mrefu.na hii serikali isiposoma alama za nyakati hii kesi itawaweka pabaya sana uko mbele.Zama zimebadilika.
 
Stupid, sentensi hiyo ina maana maelezo yale are cooked by Kingai and not extracted from the suspect. Stupid hujui lolote
Sasa wewe unayejua sheria mbona unahamaki na kutukana! Kwa mwenendo huu wa kutukana badala ya hoja ni kwamba ushindi wako unategemea hisani ya jaji na maagizo yaliyoandaliwa toka juu.
 
... exactly! You have nailed it! Na ndio maana mkamataji hatakiwi kuwa mchukua maelezo! One of the biggest mistakes ever!
Credibility of the witness tainted with lies; an impatial Judge will right away arrive at that conclusion and the whole lot will be expanged from record
 
Hii Kesi ni Documentary tosha ya utalii acha tuone inaishaje😂😂😂😂

Kwa Chief Hangaya tumepigwa parefu ni sawa na kununua kitu online Delivery sasa.
Rais hahusiki hata chembe na kesi zilizoko mahakamani.....
 
yake ndiyo si likuwa anamhoji mtuhumiwa anaandika na mtuhumiwa anasaini kwamba kilichoandikwa ni sawa sasa hapo kosa liko wapi? mbowe anaenda kula mvua za kutosha gaidi mkubwa mbwa huyu
Wewe **** tulia upewe darasa acha kutibua mambo. Jifunze kitu hapa haujui kesho yako. Unaleta ushabiki maandazi.
 
Anajificha kwa wanawake huko, na kuwajaza ujina wake, ili tukilitimua liseme .. kina mama tukatae mfumo Dume.
Mtamtimua wapi ?!!!

Yaanj ninyi CHADEMA mumtimue mwenyekiti wa CCM ?!!!Khaaaa 😲😲🤣🤣🤣

Endelea kuota juani.....

#SiempreJMT
 
Means maelezo Yale aliyatunga mwenyewe from his head or cooked from his head ànd not from the suspect. Do you mean that?
Halafu pia alijichanganya sana pale wakili msomi Mtobesya alipomchanganya na vifungu vya sheria kisha akamuuliza kuwa alichukua maelezo kwa mujibu wa vifungu vya sheria au alitumia tu uzoefu, halafu ACP Kingai akajichanganya na kusema kuwa alitumia tu uzoefu kwa sababu alishajua kama akisema kuwa alitumia kifungu cha sheria ataambiwa akitaje wakati hakijui.

Kisha wakili msomi Mtobesya akakaa chini fasta kwa sababu alishajua kuwa amemaliza jambo lake vizuri.
 
Yaani hiki ni kituko cha mwaka. Unakata miti ili kuzuia njia! Kigai kweli hana akili huyu.
 
Au na wewe jiunge kwenye jopo la mashahidi wa serikali.
 
Sema manjagu wajanja wakitaka kukutoa sadaka wanakutoa kwenye hizi kesi...huyo jamaa hana uwezo wa kusimama kutoa ushahidi kwa kesi za janja janja amelitia aibu Taifa...
 
Ahsante Mzee Vuta ni kuvute. Hiyo Kesi imeandaliwa na Serikali ya Chama tawala. Je huko Chamani hii ndio Sera na Ilani yenu ya Uchaguzi kubambika watu Kesi, na Kuvielekeza vyombo vya Dola kuwaisaidia?

Au ndio utekelezaji ya yule aliyesema "Tutatumia Dola Kubaki Madarakani"?
 
Mijadala ya great thinkers nakushauri uwe unasoma tu bila kuchangia kitu. Maana hapo ndipo unapochemka kuuficha ujinga wako....

Yani hata logic ndogo tu kwenye hoja ya jamaa hujaielewa? Kwani shuleni ulienda kusomea ujinga?
Anatafuta ute UZI. Mjinga sana anajiona anachangia uharo baada ya kusoma hoja zenye afya.
 
Sasa wewe unayejua sheria mbona unahamaki na kutukana! Kwa mwenendo huu wa kutukana badala ya hoja ni kwamba ushindi wako unategemea hisani ya jaji na maagizo yaliyoandaliwa toka juu.
Nani kasema anajua Sheria. This is common sense, instinctive. You use your intuition man!
 
Shida ni kwamba, uongo mmoja huitaji uwongo kumi kuulinda usijulikane... na hayo mauwongo kuna nayo kila mmoja huitaji kumi mengine.. HAPO NDO PENYE KAZI KUBWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…