Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

Wewe unaiongelea kesi iliyoko mahakamani....

Umeniambia Rais ameongelea juu ya ugaidi uliousema.....

Rais naye ni raia wa Tanzania pamoja na majukumu yake makubwa.....
Kwenye hii mada yetu hatumzungumzii Rais kama raia wa Tanzania bali tunamzungumzia Rais kama mhimili wa dola.Rais kama raia wa Tanzania hiyo ni mada nyingine ambayo kwa sasa siyo mada yetu.

Rais ni mhimili wa dola na hapaswi kuingilia utendaji wa mihimili mingine ikiwa ni pamoja na kesi zilizopo mahakamani.

Kitendo cha Rais kuiambia dunia kuwa Mbowe ni gaidi kupitia BBC ni kuingilia mhimili wa mahakama katika utendaji wake wa utoaji haki.
Sote tulisikiliza yale maongezi na ndugu Kikeke...unaweza kusema lolote juu yake.....


Una ushahidi kuwa Rais anahusika hata chembe na kesi ya Mbowe?!!!
Rais kama mhimili anapaswa kuheshimu mihimili mingine ikiwa ni pamoja na mahakama.

Rais ameingilia kesi ya Mbowe kwa kufanya kazi ya mahakama kwa kuitangazia dunia kupitia BBC kuwa Mbowe ni gaidi.
 
Ile kusema Mbowe ni gaidi na magaidi wenzie walishafungwa zamani (kwa maana Mbowe kacheleweshwa) na majaji (refarii wa mchezo) ni wateule wake, wewe binafsi unaonaje hapo?? Kaingilia au bado????
 
yake ndiyo si likuwa anamhoji mtuhumiwa anaandika na mtuhumiwa anasaini kwamba kilichoandikwa ni sawa sasa hapo kosa liko wapi? mbowe anaenda kula mvua za kutosha gaidi mkubwa mbwa huyu
Mbwa mama yak
 
Kwani wewe unahusika hata CHEMBE na kesi hiyo unayoiongelea?!!
Ni wazi kuwa huielewi logic ya hoja na swali la Behaviourist au unaamua kupotezea kwa makusudi badala ya kujibu...

Ukitaka kuwa honest na kuufanya mjadala huu uwe wa manufaa kwa wote ktk kujengeana ufahamu wa hili jambo wekeni mapenzi yenu binafsi pembeni kisha tambueni nafasi ya Rais katika hili na nafasi yangu, yako na raia wengine wa kawaida...

Kiukweli kabisa ndugu Jumbe Brown Rais alipohojiwa na BBC, alisema mambo mawili very controversial yanayotafsiriwa kama "mhimili wa serikali kupitia Rais kuingilia mahakama" kuhusu kesi hii;

1. Kwamba, kuna "wenzake na Mbowe" waliokwisha hukumiwa tayari kwa makosa hayohayo. Huu ulikuwa uongo wa mchana kweupe...!

2. Kwamba, kuna ushahidi wa kutosha kuthibitisha "makosa ya Mbowe" na ndiyo maana alikimbilia Nairobi Kenya akijua ana kesi. Hii direct kuingilia mahakama...

KUMBUKA: Jambo moja kuwa, mtu aliye katika nafasi ya U Rais wa nchi kama Samia Hassan huyu, kwake anapopanua mdomo wake kuzungumza mambo ya nchi, welfare za watu anaowaongoza, hakuna kitu kinaitwa "maoni ya Rais". Kwake anapozungumza juu ya jambo lililo halisi, anakuwa anaelekeza...

Hayo sijui hupewa daily briefing na mengine ni ya kwao huko ndani. Kama hudanganywa au vipi is not our business. Sisi tuna - consume na ku - analyse kinachokuwa kimetoka tayari nje...
 
Thus kada kaaumbuka
 
Tuache yote ila hilo la dawa la kulevya ni aibu kubwa; Hivi serikali inawetegemeaje hawa watu wakati wanawavua nguo Hivi kila siku?
Hah hah hah. Nimecheka sana, eti Chief Hangaya nasi tuanze kampeni! Hah hah hah. Mtanyukana sana Lumumba safari hii!
 
Wewe Tupatupa wewe, kwa sasa utaionja Segerea.
Unarifundisha geshi ra porisi kazi yake!!!!
 
Unashauri wamwondoe ili tu kufit kwenye script?
 
[emoji1666][emoji1666]
 
Tunawasubili mashahidi wengine uchwara walioamua kuuza utu wako kwa vipande vya fedha, hakika KARMA haitowaacha salama wao na vizazi vyao.
 
yake ndiyo si likuwa anamhoji mtuhumiwa anaandika na mtuhumiwa anasaini kwamba kilichoandikwa ni sawa sasa hapo kosa liko wapi? mbowe anaenda kula mvua za kutosha gaidi mkubwa mbwa huyu
Hivi uliona wapi polisi anayekamata ndiye tena anaandika maelezo wewe boyaaa??
 
Hii "kesi" itaanika wazi uwezo na weledi wa mahakama za Tanzania kama ni independent au ni idara nyingine ya serikali isiyo rasmi.

Mpaka kuja kwisha, tutajifunza mambo mengi sana kwenye hii "kesi" na kama watuhumiwa hawatatiwa hatiani basi itakuwa ni sababu tosha ya hili jeshi la polisi kufanyiwa "Major Overhaul" ili kulipa heshima, ambayo kwa sasa halina kabisa, mbele ya jamii.
 
Mijadala ya great thinkers nakushauri uwe unasoma tu bila kuchangia kitu. Maana hapo ndipo unapochemka kuuficha ujinga wako....

Yani hata logic ndogo tu kwenye hoja ya jamaa hujaielewa? Kwani shuleni ulienda kusomea ujinga?
Sasa si mpaka huko shule awe amekwenda kweli?

Kwani kujuwa kusoma na kuandika si basic tu ya kufuta ujinga lakini jitu bado limebaki na ujinga wake tu?
 
Mungu bhanaa....usichezee
Mungu ni Mungu tu mkuu,si uliona alivyotuondolea yule dictator mwezi April.Jeuri ubabe na kila aina ya unyanyasaji akalamba jivu sasa hivi yupo mavumbini.

Ee Mungu uhimidiwe milele
 
Huyo Kingai amelikoroga wacha alinywe.
Hakuna utani this time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…