chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Mie sijui mambo ya ugaidi, ila sikubaliani na maelezo eti kanitafutie makomandoo kama kutafuta mchicha, hata ayatoae sijui hana aibu, unawaambia wanaume eti alituma kanitafutie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hoja zinatakiwa kuchangiwa na watu wenye akili, siyo wewe.Nyie jipeni matumaini tu hizo ni hoja mrenda mrenda sana mbowe lazima ale mvua yaani kumbe ni kweli jamaa ni gaidi na aliznza zamani
Mkuu 'VUTA',Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
[emoji2935] Hapo ndipo ninapowakubali saana, Mawakili Wasomi! Pale huwa hakuna chenga chenga![emoji1732][emoji1732]CROSS EXAMINATION OF WITNESS SIO MCHEZO MCHEZO UONGO NA UKWELI HUWA MAJI NA MAFUTA.
Kituo cha Mbweni na cha Tazara, ooohhh my God!!!!!!!! Kingai Kingai Kingai,,,,,,,,,,. Yatajulikana mengi chini ya kapeti.Kwa maoni yangu Kingai kuacha kutaja Kituo cha Mbweni haikua bahati mbaya. Walikusudua kuficha kitu
Kitendo cha kuhamisha hamisha vituo watuhumiwa ni ili polisi wahalalishe kuendelea kuwashikilia na pia kuwapa kibano(utesaji). Wasingeweza kusema hivyo
Hivi mawakili wa serikali huwa wanasoma shule ya sheria ya nchi gani?Kwanini mawakili wa Jamhuri mara nyingi hawafanyi mambo kwa umakini?
Ahahahaha..IBOYA2021.HONGERA SANA KWA KUHUKUMU.HALAFU AKIFUNGWA UNADHANI UTAFAIDIKA NA NINI? NINI KITAATHIRIKA KWAKO? ENDELEA KUFURAHI KHERI YAKO UTAIONA.yake ndiyo si likuwa anamhoji mtuhumiwa anaandika na mtuhumiwa anasaini kwamba kilichoandikwa ni sawa sasa hapo kosa liko wapi? mbowe anaenda kula mvua za kutosha gaidi mkubwa mbwa huyu
Mawakili wengi wazuri walishaondokaga/waliacha kazi AG ChamberKwanini mawakili wa Jamhuri mara nyingi hawafanyi mambo kwa umakini?
Mawakili wengi wazuri wa serakali waliondoka huko/waliacha kaziHivi mawakili wa serikali huwa wanasoma shule ya sheria ya nchi gani?
Au ndo mambo ya uzarendo
Polisi wameendelea kukiri waziwazi kuwa hawafuati PGO bali maelekezo kutoka juu!!... exactly! You have nailed it! Na ndio maana mkamataji hatakiwi kuwa mchukua maelezo! One of the biggest mistakes ever!