Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

Wito wa mpito kwa DPP: Wakili aliyemwandaa ACP Kingai aondolewe jopo la Mashtaka la akina Mbowe

Mie sijui mambo ya ugaidi, ila sikubaliani na maelezo eti kanitafutie makomandoo kama kutafuta mchicha, hata ayatoae sijui hana aibu, unawaambia wanaume eti alituma kanitafutie!
 
Kada kingai kawaabisha Sana ccm hadi wanazuia watu kuingia mahakamani hali mtu hazuiliwi mahakamani
 
Nyie jipeni matumaini tu hizo ni hoja mrenda mrenda sana mbowe lazima ale mvua yaani kumbe ni kweli jamaa ni gaidi na aliznza zamani
Hizi hoja zinatakiwa kuchangiwa na watu wenye akili, siyo wewe.
 
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mkuu 'VUTA',

Wewe unaliona hili kama tatizo la kiufundi tu la "kutomwandaa" shahidi; tatizo ambalo ni dogo kurekebishwa.

Mimi naliona kuwa ni tatizo la kimfumo, ambalo ni tatizo kubwa zaidi na la kutisha, na haliko huko kwa mawakala tu au polisi, ni tatizo lililotapakaa kila sehemu serikalini.

Kwenye kilimo ni hivyo hivyo, watu wa takwimu nao wapo kama hawapo, mashuleni na hata mahospitalini na kwingine kote.

Kwa hiyo hapa kwenye mada yako hii umetupa nafasi ya kuona uozo huo uliopo huko. Kesho na keshokutwa mawazo yetu yataelekezwa kwenye maeneo mengine nako tuone hali mbovu uliyopo huko.

Kwa bahati mbaya sana, sioni 'queen hangaya' akielewa hali hii mbovu na kutaka aibadilishe. Sana sana atailea na kuitumia kwa manufa yake!

Tutaendelea hivi kama taifa hadi lini na nini itakuwa hatma yetu?
 
huwezi kumuandaa mtu na manyota yake.wanachofanya wanasema wewe utasimama upande huu wakijua mtu yupo smart kumbe shida.

makamanda wakibongo wakisimama utajua wapo vizuri kila sehemu.sasa acha aanze vituko.
utacheka na hutaamini.
 
huwezi kumuandaa mtu na manyota yake.wanachofanya wanasema wewe utasimama upande huu wakijua mtu yupo smart kumbe shida.

makamanda wakibongo wakisimama utajua wapo vizuri kila sehemu.sasa acha aanze vituko.
utacheka na hutaamini.
 
CROSS EXAMINATION OF WITNESS SIO MCHEZO MCHEZO UONGO NA UKWELI HUWA MAJI NA MAFUTA.
[emoji2935] Hapo ndipo ninapowakubali saana, Mawakili Wasomi! Pale huwa hakuna chenga chenga![emoji1732][emoji1732]
 
Kwa maoni yangu Kingai kuacha kutaja Kituo cha Mbweni haikua bahati mbaya. Walikusudua kuficha kitu

Kitendo cha kuhamisha hamisha vituo watuhumiwa ni ili polisi wahalalishe kuendelea kuwashikilia na pia kuwapa kibano(utesaji). Wasingeweza kusema hivyo
Kituo cha Mbweni na cha Tazara, ooohhh my God!!!!!!!! Kingai Kingai Kingai,,,,,,,,,,. Yatajulikana mengi chini ya kapeti.
 
Wakuu samahanini, naomba kuuliza. imekuaje shahidi akulizwa maswali na wakili wa upande wake na sio ule wa kina mbowe?
 
Kwanini mawakili wa Jamhuri mara nyingi hawafanyi mambo kwa umakini?
Hivi mawakili wa serikali huwa wanasoma shule ya sheria ya nchi gani?
Au ndo mambo ya uzarendo
 
yake ndiyo si likuwa anamhoji mtuhumiwa anaandika na mtuhumiwa anasaini kwamba kilichoandikwa ni sawa sasa hapo kosa liko wapi? mbowe anaenda kula mvua za kutosha gaidi mkubwa mbwa huyu
Ahahahaha..IBOYA2021.HONGERA SANA KWA KUHUKUMU.HALAFU AKIFUNGWA UNADHANI UTAFAIDIKA NA NINI? NINI KITAATHIRIKA KWAKO? ENDELEA KUFURAHI KHERI YAKO UTAIONA.
 
... exactly! You have nailed it! Na ndio maana mkamataji hatakiwi kuwa mchukua maelezo! One of the biggest mistakes ever!
Polisi wameendelea kukiri waziwazi kuwa hawafuati PGO bali maelekezo kutoka juu!!
 
Back
Top Bottom