So anaenda kuhojiwa kuhusu kauliHongera Polisi kwa kumwita kwa mujibu wa kanuni za jeshi la Polisi. Kwa kweli ningeshangaa kama angeenda Polisi kwa taarifa za kwenye mitandao
Sarakasi za kuitwa Tundu Lissu polisi sasa zimehamia kanda maalum ya Dar es Salaam kesho.
View attachment 1587470
Kwahiyo anaitikia wito upi wa Moshi au Dar ?Sirro ameona Lissu akireport kituo cha Moshi itakuwa ni kampeni tena kila anapopita[emoji1787]