shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,901
Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam
======
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila kukosa tarehe 02 Oktoba, 2020 kwa ajili ya mahojiano kwa kilichoelezwa kuwa ni kufuatia kauli na matamshi yake mbayo amekuwa akiyatoa katika shughuli zake za kampeni.