Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Pia, soma;
1). Watu 14 washikiliwa kwa tuhuma za kurekodi video mgonjwa akiwa ICU Muhimbili