Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Hata ile sauti ya ruge mutahaba akiombewa haikuwa sawa kupost. Yani hali ya mgonjwa dakika za kufa inavyokuwa tete halafu atokee mtu arikodii mtu wangu wa karibu then aweke mtandaoni asee ningechoma hata nyumba ya ndugu yake kama yeye yupo mbali
We Nakadori wewe....
 
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwahua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupp ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Kuna nini tena jamani
 
$500 kwa kazi Ile wewe ungeruka?

Embu tulia
 
Itakuwa ni kwenye hilo app lake la umbea tu, hamna kwingine
Daaah! Hiyo App, ni kiboko! Inadharirisha watu kibao! Jana imeandikwaje, eti X mbunge mmoja wa CDM huwa anatabia ya KULAWITI wanawake. Eti, wanawake walikuwa wanamkimbia. Huyu mke aliyenaye sasa, inaonekana kuwa, anaumudu huo mchezo!

Majuzi, akaweka clip, ikimuonyesha Wema Sepetu akiwa na Mbunge mmoja, ambaye alikuwa ana-kaujamaa na MWENDAZAKE,wakiifurahia Dunia!
 
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwahua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupp ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Ni UNYAMA USIO VUMILIKA wanastahiri Waadhibiwe
 
we nae huna tofauti na huyo aliesambaza , Uliwaona hao madaktari wakati wanarecord ?
 
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwahua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupp ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Hivi huyu kisirani TCRA wamamshindwa anaendelea kumomonyoa maadili ya taifa kupitia hizo kurasa zake za udaku na app yake?
 
Back
Top Bottom