Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Honestly this app needs to be banned in Tanzania.

Too much violation of privacy. Fungia akaunti za kupokea hela, piga pini IP/Domain zake isipatikane hapa Tanzania, shenzi kabisa.
NAKAZIA.....Maana yeye ndio mvunja majumba,yaani ukilala unaweze amka saa kumi na moja unajikuta kwenye lile li app
 
Honestly this app needs to be banned in Tanzania.

Too much violation of privacy. Fungia akaunti za kupokea hela, piga pini IP/Domain zake isipatikane hapa Tanzania, shenzi kabisa.
Kweli kabisa, mtu anakaa zake huko halafu kazi yake kudhalilisha hadi wagonjwa kisa tamaa ya pesa, mgonjwa kakukosea nini?!
 
Back
Top Bottom