Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Inasikitisha sana,,,,Kama ndugu waliruhusiwa kumuona mgonjwa wachunguzwe pia,,,maana Kuna wengine huwa wanarecord Hata baba/mama/wajomba nk zao wakifanya ecg au kalazwa anampiga pic anapost eti “pray for my mom/dad” hatar sana
 
Hii app isipokua banned na TCRA Tanzania, italeta shida sana siku za usoni maana Hayo anayofanya Mange Kimambi ni kielelezo kingine cha namna Technology inatukosesha utu...

Albert Einstein aliwahi kusema:

"I fear the day that technology will surpass our human interaction. The world will have a generation of idiots"
 
Ametibiwa kwa kodi zetu, hakuwa na bima

Hatuna budi kuhakiki matumizi ya hela yetu

Amepewa upendeleo wa tiba kwa sababu ni mtu maarufu

Na amepigwa picha kwa sababu ya umaarufu

It comes with the territory
 
Binafsi imenisikitisha sana. Ila kupitia haya nafikiri tunaendelea kujifunza. Mtu peace kama Jay hakustahili haya!

Ila tujiandae kisaikolojia maana ziko mbegu zimepandwa, zimemwagiliwa, zimetiwa mbolea na sasa kidogo kidogo zinaanza kuchipuka! Mbaya zaidi zinachipukia hata kwa wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom