Alafu yule Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano pale Muhimbili eti na yeye anaandika barua ya ki Serekali ana mcote Mange!! Who is Mange!? Ni BBC au ni CNN!? Mi ningekua Boss wake ningempiga chini faster!!!Tena wakawa wanamuamini kuliko hata kamati kuu ya chama chao!
Mijitu mizima utasikia "da Mange amesema"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani Sasa hivi watu kibao wanaanza kuitafuta hiyo video baada ya kusoma hiyo barua kutoka Muhimbili!! Yaani kampaa kiki sana Mange!!Alafu yule Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano pale Muhimbili eti na yeye anaandika barua ya ki Serekali ana mcote Mange!! Who is Mange!? Ni BBC au ni CNN!? Mi ningekua Boss wake ningempiga chini faster!!!
Hapa na ambao walikuwa hawajajiunga jana na leo wamejiunga wakaone video ndio warudi sasa kuelezea venye mange ana roho mbaya. Na bado wanaendelea kujiunga. Wa tz hauwezi watenganisha na umbeya na utomaso.We unacheka tena?[emoji849][emoji849][emoji849] Si umesema unaifunga hii app leo....Fanya mambo basi!
Watu walimpiga picha maiti ya Magufuli na hakuna aliyekamatwa hadi leo!! Mange walimlea wenyewe na wakiaamua kumnyoosha watamnyoosha wenyewe!!Swali ni picha za Prof Jay akipambania uhai wake zina faida gani kwa jamii? Ni bora angeweka picha ya hospitali bati inavuja, ili watu waende kutengeneza, lakini hii ina ladha mbaya sana.
what do you loose ukiona?You are very insensitive and useless
What do you gain kuona mtu anateseka?
Hahah, aisee kumbe kuna watu mna-manage kuishi bila ubongo kichwani, ni kwanini kunakuwa na confession room kanisani, na mnakuwa wawili tu, kwanini hatufanyi mbele za watu, daah...Si toba? Tena km dhambi zingine alifanya kwa wazi dunia ikijua ametubu si ndio vizuri zaidi jamani? Na inakuwa fundisho kwa wengine kumrudia Mungu kwa kuona km tajiri Ruge na utajiri, umaarufu wote ule alishuka na kutubu kwa Mungu mimi kwanini nisitubu?
Mgonjwa ana haki ya faragha..., huwezi kumuanika mtu katika hali ile bila ridhaa.., ni unyama huoSimtetei huyo Mange wala simjui.Lkn picha hizo labda zinasaidia watu kujua kuwa kumbe mwenzetu anaumwa sana wengine hata watamuombea.Lkn itatukumbusha kuwa sisi ni binadamu tumche mola wetu
Ndio ila wameitoa huko kwenye app yake...Ipo insta nimeiona sasa hivi
Nasikia hiyo video ya PJ mtu kakamatishwa $ 3000[emoji849][emoji849]2 millions aisee watu wameipokea hamna namna
Hiyo video kwenye app yake views wamefika laki moja na elfu kumi, comments zinakaribia elfu moja!Yaani Sasa hivi watu kibao wanaanza kuitafuta hiyo video baada ya kusoma hiyo barua kutoka Muhimbili!! Yaani kampaa kiki sana Mange!!
Sio tu umbea na unafiki juu[emoji849][emoji848][emoji848]Hapa na ambao walikuwa hawajajiunga jana na leo wamejiunga wakaone video ndio warudi sasa kuelezea venye mange ana roho mbaya. Na bado wanaendelea kujiunga. Wa tz hauwezi watenganisha na umbeya na utomaso.
Sasa ni either wahudumu au mke wa Joseph haule ni mfuasi kindakindaki wa dada yenu,au kalipwaHata Muhimbili ni wawili
Sio tu umbea na unafiki juu[emoji849][emoji848][emoji848]
Yaan mtu kaenda kaiangalia mara elfu baada ya hapo anakuja kutema cheche jf...
Unatakiwa usiiangalie hiyo video[emoji848]
Tmz πππππNasikia hiyo video ya PJ mtu kakamatishwa $ 3000[emoji849][emoji849]
Si mchezo watu lazima wanitoe ufahamu...Kam TMZ vile daah
Oooohoooo naona kamuanza mchana huu kumchamba huyo mama mdogomdogo issue ya Bashite.akivuta bangi mama kazi anayo ajipangeNingekuwa mimi mange kitendo tu cha kupewa heshima ya kusalimiana na rais wa nchi kingenifanya niwe humble ili nisichafue file langu kwa rais tena rais mwenyewe humble kama mama samia dah ningekuwa mpole wala nisingeleta upoyoyo kama wa mange.
NdioNdio ila wameitoa huko kwenye app yake...
Wanafamilia tu Hao
Mange analipa dollar hadi 3000