Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 453
- 788
Vipi unaporudishwa kundini? Inakuwa sirini?Hahah, aisee kumbe kuna watu mna-manage kuishi bila ubongo kichwani, ni kwanini kunakuwa na confession room kanisani, na mnakuwa wawili tu, kwanini hatufanyi mbele za watu, daah...
What do you gain?what do you loose ukiona?
Jibu murua hili πWhat do you gain?
Pia kama kuna ndugu wa Prof J wanatakiwa kumshtaki Mange. Fedha isitufanye tukose utu.Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
what do you loose?What do you gain?
Haahaahaaha...mtanzania ni noma sanaHata nilisahau kuhusu Unafiki.
Kila mtu anasema hana hiyo app hadi unajiuliza sasa hao watu mamilion kwa Mange wanatokea wapi?
Hehehe anakwambia kila mtu abebe dhambi zake, yy anabully watu na anapata hela wengine waendelee kufirw@ na kutomb.ana na waume za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Tmz [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Dem kiboko na wanaomuandama kuhusu app yake nimeona amesema labda afe na kawaporomoshea mitusu juuu daaaah yule akili zake sio poa yuko usa hajasau tusi k%@!β¬@ kibuyu ameshindikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Toka jana unasema hiviHapa tunasubiri tamko la TCRA tu, tukae mkao wa kula, huu ni unyama wa hali ya juu
Tena na zaidi siku hizi ukiingia mida ya saa mbili usiku hiyo app inakuwa busy kishenzi...unaambiwa " more than 2millions are busy with this app, so kwa wewe try later
( Ila Wabongo wanapenda umbea uwiiiii)[emoji848]
Hata kusema kuwa anaumwa maana hakuanza jana kuumwaYule aliemwita mama yake mlezi aliyefariki wiki iliyoisha mtoto wa malecela ,DR nani sijui, mbona hakumposti wakati anaumwa?au anapigania uhai wake? Ila vya wengine anapost kisa they are not that close!!
Huu ni mchakato kijana, tunaminya kidogo kidogo hadi maji yachemkeToka jana unasema hivi
Dawa ni kuzuia malipo kupitia mitandao ya simu. Kuifungia app inaweza ikawa ngumu mpaka Google wenyewe. Ila mnaweza kuwasiliana na Google na watu wakiiflag app Google watastukia na kuifungaHuu ni mchakato kijana, tunaminya kidogo kidogo hadi maji yachemke
Hiyo video kwenye app yake views wamefika laki moja na elfu kumi, comments zinakaribia elfu moja!
Ina maana kuna nyomi mpya imejiunga jana na leo tena na mpaka watu wakubwa tu[emoji848]
Sio tu umbea na unafiki juu[emoji849][emoji848][emoji848]
Yaan mtu kaenda kaiangalia mara elfu baada ya hapo anakuja kutema cheche jf...
Unatakiwa usiiangalie hiyo video[emoji848]
Inasikitisha sana, mnaenda kulipia kabisa, mnategemea nini?Sasa hapa utakuta na waloenda kutizama wanakuja huku kulaumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watanzania wangekua wamekaairika wasingeenda kuitizama watanzania ni wanafiki tu kama wanafiki wengine
Mtoto analaana huyu ππππHehehe anakwambia kila mtu abebe dhambi zake, yy anabully watu na anapata hela wengine waendelee kufirw@ na kutomb.ana na waume za watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
Siku atapomuanika namba 1 ndio TCRA watatia akiliMtoto analaana huyu ππππ
Hakika, kazi iendeleeKabisa!
Na hata sasa anafanya kazi nzuri sana! Kazi na iendelee
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app