Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 453
- 788
Vipi unaporudishwa kundini? Inakuwa sirini?Hahah, aisee kumbe kuna watu mna-manage kuishi bila ubongo kichwani, ni kwanini kunakuwa na confession room kanisani, na mnakuwa wawili tu, kwanini hatufanyi mbele za watu, daah...