Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Hivi Huko America anafanya kazi gani?
 
Mange ana vinasaba vyote vya mtu kigagula. Ana wivu na roho mbaya sijapata kuona. Anataka asikilizwe yeye wakati ni debe tupu lisiloacha kutika
 
Miaka kama saba iliyopita yupo kijana aliugua ni kitu kama mapafu, alikuwa na uwezo mkubwa kipesa.

Alilazwa yaani kabla hajafa mke keshaanza kununua sare.

Kweli usiamini sana mwenzi wako ngaa mnalala kitanda kimoja
 
Huyu "Les Mangelepa" alipewa udada wa taifa kwa hikihiki alichokifanya na hawahawa wanaojilizaliza leo.

Binafsi nampongeza kwa alichokifanya na namsihi aendelee kuwabonyeza makalio makerubi wake.

Chickens coming home to ROOST never did make me SAD.
 
Maneno haya yaanze kwanza kumfikia mzee Freeman Aikaeli Mbowe .

Huyu ndio yule dada wa Taifa ambaye sasa amewarudi kina kaka wa Taifa.

Siku zinaenda kwa kasi sana!
 
Miaka kama saba iliyopita yupo kijana aliugua ni kitu kama mapafu, alikuwa na uwezo mkubwa kipesa.

Alilazwa yaani kabla hajafa mke keshaanza kununua sare.

Kweli usiamini sana mwenzi wako ngaa mnalala kitanda kimoja
Duuuh, hii kali sasa
 


Jk mnamuonea yeye Pia alitukanwa sana na Mange na Kigogo

Kigogo anajulikana hausiki na JK sio mwanafamilia na Mange anajulikana
 
Hiyo app ya mange ni mojawapo ya pepo au shetani, mtu akiwa na kisa na wewe tu anauza kwa mange wanakurusha duniani.

Hapa Tanzania wapo mastaa kibao wanaugulia uzalilishwaji na wengine hata ndoa ziko hatarini kufa kisa ni hiyo app.
 
Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka[emoji1534][emoji1533]
 
Na hao walioko nyuma yake waliochukua video na kumpostia
 
kigogo sasa hivi waziri kawa mkimya anapiga mishe mishe kukichanga kwa ajili ya 2030 baada ya mama.. kigogo ni swahiba wa hiki ki mange na na chief alikisalimia alipoenda US.
 
Sherehe ya kifo cha Jiwe ilifanywa na watu wengi mpaka makada wa fisiemu. Kwa hilo binafsi sioni tatizo. Labda mengine ya kutukana watu

Sasa yakijirudia kwa wengine shida iko wp
 
Huyu binti mama yake c alikuwa house girl wa mzee kimambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…