Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Hivi Huko America anafanya kazi gani?
 
Mange ana vinasaba vyote vya mtu kigagula. Ana wivu na roho mbaya sijapata kuona. Anataka asikilizwe yeye wakati ni debe tupu lisiloacha kutika
 
Miaka kama saba iliyopita yupo kijana aliugua ni kitu kama mapafu, alikuwa na uwezo mkubwa kipesa.

Alilazwa yaani kabla hajafa mke keshaanza kununua sare.

Kweli usiamini sana mwenzi wako ngaa mnalala kitanda kimoja
 
Huyu "Les Mangelepa" alipewa udada wa taifa kwa hikihiki alichokifanya na hawahawa wanaojilizaliza leo.

Binafsi nampongeza kwa alichokifanya na namsihi aendelee kuwabonyeza makalio makerubi wake.

Chickens coming home to ROOST never did make me SAD.
 
Chuki zimepofusha mioyo ya Watanzania.....wanafurahia matendo mabaya wanayofanyiwa watu wasio wapenda....bila kujua ubaya hauchagui.........

Waungwana wanatakiwa kumkemea mtu yoyote anayefanya ubaya bila kuangalia huo ubaya anamfanyia nani maana inawezekana siku moja ukawa mhanga wa ubaya anaoutenda huyo mtu unayemfurahia........

Mange ni mtu wa kulaaniwa kwa watu wote wenye mioyo ya kibinadamu wasio wanafiki......
Maneno haya yaanze kwanza kumfikia mzee Freeman Aikaeli Mbowe .

Huyu ndio yule dada wa Taifa ambaye sasa amewarudi kina kaka wa Taifa.

Siku zinaenda kwa kasi sana!
 
Miaka kama saba iliyopita yupo kijana aliugua ni kitu kama mapafu, alikuwa na uwezo mkubwa kipesa.

Alilazwa yaani kabla hajafa mke keshaanza kununua sare.

Kweli usiamini sana mwenzi wako ngaa mnalala kitanda kimoja
Duuuh, hii kali sasa
 
Atamkataaje wakati ni msemaji wao? Kama utakumbuka mange aliibika wakati gani?

Mange ni kundi la akina kigogo. Humo huwezi kumkosa handsome wa taifa na mwanawe, mkata umeme na wanaojufanya wenye ccm.

Mange aliweza kupata barua iliyowataka maafisa usalama wamkamate na akatoroka nchi. Unadhani ni suala dogo? Probably ni sehemu yao au ana watu ndani ya mfumo ambao wanampa kila kitu cha nchi hii.

Video ya makonda ameipata wapi? Maanake kuna informer wake anayemtumia matukio haya. Naye ni nani basi maanake habari anazopost mange huwa wa kwanza kabla ya wengine.

Kikwete aliiharibu sana nchi kwa kuendekeza makundi ambayo yameendelwa kuwa shubiri kwa viongozi wanaomfuatia.

Mama naye hayuko salama. Ni jambo la kusubiri kwa muda tu.

Jk mnamuonea yeye Pia alitukanwa sana na Mange na Kigogo

Kigogo anajulikana hausiki na JK sio mwanafamilia na Mange anajulikana
 
Hiyo app ya mange ni mojawapo ya pepo au shetani, mtu akiwa na kisa na wewe tu anauza kwa mange wanakurusha duniani.

Hapa Tanzania wapo mastaa kibao wanaugulia uzalilishwaji na wengine hata ndoa ziko hatarini kufa kisa ni hiyo app.
 
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka[emoji1534][emoji1533]
 
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Na hao walioko nyuma yake waliochukua video na kumpostia
 
Huwaga Mimi namchukulia Kama CHIZI Fresh.
Ila anatakiwa apelekwe milembe ya watu dizaini yake.

JPM kuna mambo mengi nilikuwa simkubali lakini huyo CHIZI akisaidizana na Kigogo walikuwa wanatoa matusi utadhani maroboti yasiyo na hisia.
Yale matusi ya nguoni kabisa Jambo ambalo sikuwa nakubaliana nalo.

Hao ndio walipaswa waonje joto la jiwe, kwani walivuka mipaka Kwa kiwango cha juu kabisa.

Niliwahi muandikia kigogo kuwa ajibadilishe tabia Kwa baadhi ya namna ya anavyoandika na kutusi watu.

Alisoma na ku-like pasipo kunijibu chochote, lakini naona bado anaendelea
kigogo sasa hivi waziri kawa mkimya anapiga mishe mishe kukichanga kwa ajili ya 2030 baada ya mama.. kigogo ni swahiba wa hiki ki mange na na chief alikisalimia alipoenda US.
 
Sherehe ya kifo cha Jiwe ilifanywa na watu wengi mpaka makada wa fisiemu. Kwa hilo binafsi sioni tatizo. Labda mengine ya kutukana watu

Sasa yakijirudia kwa wengine shida iko wp
 
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Huyu binti mama yake c alikuwa house girl wa mzee kimambi.
 
Back
Top Bottom