Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Kalelewa sana anajiona ni mkuu
 
🀣🀣
 
Ila Crimea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Pumzisha mbavu zangu basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu alishasema watoto wake wakiwa mashoga atawasupport,Sasa huyo mange kuna ubaya atashindwa kufanya
 
Kama wahuni walirekodi kideo JPM alipokuwa anaagwa,,licha ya kujazana askari pale,,, Watu wanajirekodi,,narudia wanajirekodi wanafanya ngono...

Unafikiri ni ajabu gani sasa kumrekodi Braza Prof Jay akiwa ICU...

Hii nchi kuna vitu tunaendekeza sana,,, Yaaaani kama tunataka halafu kama hatutaki at the same time.
 
Dawa ni moja tu, acheni kulipia hiyo app ya umbea, hivi waTz mtaacha lini umbea lakini?!

Tabia ya umbea iko Tz kuliko nchi yoyote. Huko kwingine mtu anajali mambo yake zaidi kuliko yasiyomuhusu. Hapa ni kinyume!!

Nchi ambayo daktari bingwa hakulikani zaidi kuliko Aristote, Mwijaku, Juma Lokole!! Si kusudio langu kuzungumzia watu - ninazungumzia shughuli yao - umbea wa mambo ya watu wengine!!
 
nimemkumbuka Kigogo, Shangazi na Binti Sarungi...hahahahaha..wazee wa space..
 
kwani walimrecord akiwa uchi? au tatizo ni nini?
 
Nilimu-unfollow alipoanza kutukana bashite na jpm, sikuwa nawakubali hao watu ila pia sikupenda namna alivyokuwa anaporomosha matusi bila hata chembe ya haya. Kichwa chake sio kizima yule mtu walah.
Wakati anamtukana bashite na ugumba nilimsema akaniblock, Mange ni kiumbe wa ajabu sana hana utu hata kama humkubali mtu kuna vitu kama binadamu mwenye staha hupaswi kufanya. na baadhi ya wabongo ndio wamemlea kwa kumpigia makofi.

Unakumbuka alivyokuwa anamdhalilisha Lowassa wakati wa kampeni? Yeye ndio ameanzisha jina la mzee wa kibamia na wapambe wake wakalipokea. Angekemewa toka mapema asingevimba kichwa badala yake alipewa ushirikiano wa kudhalilisha watu.
 
Ogopa sana tu-dem aina ya haka ka kimbau mbau, yani kamekauka kauuu tako hakuna tumiguu twembamba mdomo ndio mkubwaaa. Gubu, kisirani,jeuri, ujasiri wa shetani, hatunaga aibu hata moja na hua vina jiamini balaa kanaweza kukutunishia msuli kama dume la nyani. NI tu-mwanamke twa hovyo sana
 
Watu washaanza kulalamika app inagoma
Taratiiiiiiibu, hadi maji yachemkee baabeki πŸ‘ΎπŸ‘ΎπŸ‘ΎπŸ‘ΎπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Asubiri kubwa lao linakuja , β€˜DOS’ bby 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…