Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Kama Mange anapata 2b,yeye hizo habari za udaku ananuwa shiling ngapi kwa habari moja! Mwenyewe niko na videos zangu za udaku,nazurula nazo kwa simu, nisije kua nina utajiri nisio ujuwa!?
Udaku kaa nao tu au futa kwenye simu kudhalilisha watu kisa pesa sio kitu kizuri[emoji848]

Kuwa na utu
 
Hiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.

Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.

Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.

Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Walimwengu ndivyo walivyo
 
We unacheka tena?[emoji849][emoji849][emoji849] Si umesema unaifunga hii app leo....Fanya mambo basi!
Sasa mtu anatokwa povu kabla hata hajanyweshwa sumu unataka nifanyeje, zaidi ya kucheka..😂😂, ni sawa na mtu anaruka kabla hata fimbo haijamfikia makalioni 😂😂😂😂
 
Mbona binadamu wa siku hizi za mwisho tunakosa UTU.....!?

🤔🤔🤔
 
This time inabidi watanzania tumkatae this is too much na serikali iseme wazi ambaye atakutwa na hiyo video asilaumu mtu

Kitu kingine vipindi vya umbeya umbeya vipigwe marufuku
Pamoja na kupigwa marufuku inabidi pia waTz waache kushabikia umbea, hilo ni muhimu kabisa
 
Me naona tutulie tu atunyoe,maana ilifikia kipindi Mange akawa anaaminika kuliko hata maofisa wa serikali.
EB12ABE0-1E5B-4500-9991-134468072C0C.jpeg

Mange mlimbeba na kumuona shujaa wenu sasa anawavua nguo kaz mnayo na ushabiki maandazi wenu
Mnajifanya kusikitika iyo ni kawaida yenu km mlivyochoma line za tigo af mkasajiri tena line za tigo mnajitekenya na kucheka wenyewe
 
Udaku kaa nao tu au futa kwenye simu kudhalilisha watu kisa pesa sio kitu kizuri[emoji848]

Kuwa na utu
Usiogope zile za kwetu Mimi na wwe siwezi zitoa kua na amani,hata tukiaachana nitazintuza kama nilivyokuaidi!!
 
Mange mlimbeba na kumuona shujaa wenu sasa anawavua nguo kaz mnayo na ushabiki maandazi wenu
Mnajifanya kusikitika iyo ni kawaida yenu km mlivyochoma line za tigo af mkasajiri tena line za tigo mnajitekenya na kucheka wenyewe
Mwisho wa hicho kiapp umefika 😂😂
 
Back
Top Bottom