witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Nasubiria tamko lake kwamba Leo anaifungia....unajua watu wana nguvu sana humu jf [emoji848]Mkuu, yaani umefoka hadi mate yamenirukia huku...[emoji12][emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiria tamko lake kwamba Leo anaifungia....unajua watu wana nguvu sana humu jf [emoji848]Mkuu, yaani umefoka hadi mate yamenirukia huku...[emoji12][emoji12]
Yuko Marekani sio UlayaIla yule sister ana njaa kama hakai ulaya anakula buku buku za wanyonge kiulaini kabisa
Udaku kaa nao tu au futa kwenye simu kudhalilisha watu kisa pesa sio kitu kizuri[emoji848]Kama Mange anapata 2b,yeye hizo habari za udaku ananuwa shiling ngapi kwa habari moja! Mwenyewe niko na videos zangu za udaku,nazurula nazo kwa simu, nisije kua nina utajiri nisio ujuwa!?
This time inabidi watanzania tumkatae this is too much na serikali iseme wazi ambaye atakutwa na hiyo video asilaumu mtuAna Lana nyingi mno
Rais samia asimwendekeze
Mi nililia jana[emoji26][emoji26]Video ukiiona itakuhuzunisha zaidi. Prof j anaonekana kabisa hana fahamu zaidi ya kuwa na mipiria tu kila sehemu ya mwili.
Inasikitisha sana
We unacheka tena?[emoji849][emoji849][emoji849] Si umesema unaifunga hii app leo....Fanya mambo basi!View attachment 2145419
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walimwengu ndivyo walivyoHiki kitendo kimefanyika si Cha kiungwana hata kidogo na kimefanywa na watu ambao huwezi kutegemea.
Inadaiwa kuwa madaktari na wauuguzi waliokua ICU wakimhudumia Prof J wamechukua video na kwenda kumuuzia yule dada ili aisambaze mtandaoni. Sio uungwana hata kidogo.
Serikali kupitia hiyo video mnaweza kuwajua waliofanya hivi na nashauri wachukuliwe hatua kali sana. Itumike namna ya kuwabaini waliofanya hivi najua mna mkono mrefu na hamshindwi.
Mtu yupo ICU amelazwa anapigania uhai wake, mnamhudumia kumbe mnarecord. Amewafanyiaa kitu gani kibaya huyu hadi mfikie huko?
Sasa mtu anatokwa povu kabla hata hajanyweshwa sumu unataka nifanyeje, zaidi ya kucheka..😂😂, ni sawa na mtu anaruka kabla hata fimbo haijamfikia makalioni 😂😂😂😂We unacheka tena?[emoji849][emoji849][emoji849] Si umesema unaifunga hii app leo....Fanya mambo basi!
Pamoja na kupigwa marufuku inabidi pia waTz waache kushabikia umbea, hilo ni muhimu kabisaThis time inabidi watanzania tumkatae this is too much na serikali iseme wazi ambaye atakutwa na hiyo video asilaumu mtu
Kitu kingine vipindi vya umbeya umbeya vipigwe marufuku
Me naona tutulie tu atunyoe,maana ilifikia kipindi Mange akawa anaaminika kuliko hata maofisa wa serikali.Two wrongs don’t make a right, this time anadhibitiwa
Me naona tutulie tu atunyoe,maana ilifikia kipindi Mange akawa anaaminika kuliko hata maofisa wa serikali.
Usiogope zile za kwetu Mimi na wwe siwezi zitoa kua na amani,hata tukiaachana nitazintuza kama nilivyokuaidi!!Udaku kaa nao tu au futa kwenye simu kudhalilisha watu kisa pesa sio kitu kizuri[emoji848]
Kuwa na utu
Mwisho wa hicho kiapp umefika 😂😂Mange mlimbeba na kumuona shujaa wenu sasa anawavua nguo kaz mnayo na ushabiki maandazi wenu
Mnajifanya kusikitika iyo ni kawaida yenu km mlivyochoma line za tigo af mkasajiri tena line za tigo mnajitekenya na kucheka wenyewe
Enzi za Magu walikua wanasema Mange anaupigwa mwingi!!Mange mlimbeba na kumuona shujaa wenu sasa anawavua nguo kaz mnayo na ushabiki maandazi wenu
Mnajifanya kusikitika iyo ni kawaida yenu km mlivyochoma line za tigo af mkasajiri tena line za tigo mnajitekenya na kucheka wenyewe
Umbea una maeneo yake....Hamisa ana mimba ya Diamond huo ni umbeya, lakini someone fighting for his life, ni umbeya wenye ladha mbaya. Ndio maana kuna backlash.Watu hawajawahi kuchoka umbea