Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Kuna watu walinitukana humu nilivyosemaga Mange hana akili timamu!!!Team Mange mpo wapi!!?...
 
waipige ban hio App na account yake ya IG Ila ninavyowajua baadhi ya watu watatumia VPN...!!

Yani Iko kidemu huwa sikielewi kama kimepagawa hv na maisha...
Hata wakitumia VPN, kuna namna nzuri sana ya kuzuia malipo kwenye hiyo app, its very intresting actually, tuwe na subira. 😂😂

Enzi za Magu walikua wanasema Mange anaupigwa mwingi!!
Swali ni picha za Prof Jay akipambania uhai wake zina faida gani kwa jamii? Ni bora angeweka picha ya hospitali bati inavuja, ili watu waende kutengeneza, lakini hii ina ladha mbaya sana.
 
Icu kunachaguliwa watu maalum wa kuingia sio kila MTU,Bugando no wawili tu wanaruhusiwa na majina yao yanakuwepo kule kwa hiyo laxima ni MTU wa karibu au wahudumu wa hospital
 
Just imagine mtu anafanya toba ya mwisho, halafu unamrekodi na kuvujidha na kupost, aisee, hii imevuka mipaka yoote!!!!!
Si toba? Tena km dhambi zingine alifanya kwa wazi dunia ikijua ametubu si ndio vizuri zaidi jamani? Na inakuwa fundisho kwa wengine kumrudia Mungu kwa kuona km tajiri Ruge na utajiri, umaarufu wote ule alishuka na kutubu kwa Mungu mimi kwanini nisitubu?
 
Swali ni picha za Prof Jay akipambania uhai wake zina faida gani kwa jamii? Ni bora angeweka picha ya hospitali bati inavuja, ili watu waende kutengeneza, lakini hii ina ladha mbaya sana.
Simtetei huyo Mange wala simjui.Lkn picha hizo labda zinasaidia watu kujua kuwa kumbe mwenzetu anaumwa sana wengine hata watamuombea.Lkn itatukumbusha kuwa sisi ni binadamu tumche mola wetu
 
Tena na zaidi siku hizi ukiingia mida ya saa mbili usiku hiyo app inakuwa busy kishenzi...unaambiwa " more than 2millions are busy with this app, so kwela wewe try later

( Ila Wabongo wanapenda umbea uwiiiii)[emoji848]
2 millions aisee watu wameipokea hamna namna
 
Huyo aliyesambaza naye ndiyo kichaa zaidi,na ndiyo huyohuyo waliyekuwa wanamtumia baadhi ya mambo awamu iliyopita na kudhalilisha watu,malipo ni hapahapa duniani........
 
Mange mlimbeba na kumuona shujaa wenu sasa anawavua nguo kaz mnayo na ushabiki maandazi wenu
Mnajifanya kusikitika iyo ni kawaida yenu km mlivyochoma line za tigo af mkasajiri tena line za tigo mnajitekenya na kucheka wenyewe
Tena wakae kwa kutulia!

Mfano huyo J alikuwa mbunge kabisa na sijawahi kuona akikemea!

Wanavuna walichopanda. Mange ni kima kigogo tu
 
Icu kunachaguliwa watu maalum wa kuingia sio kila MTU,Bugando no wawili tu wanaruhusiwa na majina yao yanakuwepo kule kwa hiyo laxima ni MTU wa karibu au wahudumu wa hospital
Hata Muhimbili ni wawili
 
Back
Top Bottom