Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Kuna watu walinitukana humu nilivyosemaga Mange hana akili timamu!!!Team Mange mpo wapi!!?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunasubiri tamko la TCRA tu, tukae mkao wa kula, huu ni unyama wa hali ya juuKuna watu walinitukana humu nilivyosemaga Mange hana akili timamu!!!Team Mange mpo wapi!!?...
waipige ban hio App na account yake ya IG Ila ninavyowajua baadhi ya watu watatumia VPN...!!Hapa tuna subiri tamko la TCRA tu, tukae mkao wa kula, huu ni unyama wa hali ya juu
Hata wakitumia VPN, kuna namna nzuri sana ya kuzuia malipo kwenye hiyo app, its very intresting actually, tuwe na subira. 😂😂waipige ban hio App na account yake ya IG Ila ninavyowajua baadhi ya watu watatumia VPN...!!
Yani Iko kidemu huwa sikielewi kama kimepagawa hv na maisha...
Swali ni picha za Prof Jay akipambania uhai wake zina faida gani kwa jamii? Ni bora angeweka picha ya hospitali bati inavuja, ili watu waende kutengeneza, lakini hii ina ladha mbaya sana.Enzi za Magu walikua wanasema Mange anaupigwa mwingi!!
Si toba? Tena km dhambi zingine alifanya kwa wazi dunia ikijua ametubu si ndio vizuri zaidi jamani? Na inakuwa fundisho kwa wengine kumrudia Mungu kwa kuona km tajiri Ruge na utajiri, umaarufu wote ule alishuka na kutubu kwa Mungu mimi kwanini nisitubu?Just imagine mtu anafanya toba ya mwisho, halafu unamrekodi na kuvujidha na kupost, aisee, hii imevuka mipaka yoote!!!!!
Simtetei huyo Mange wala simjui.Lkn picha hizo labda zinasaidia watu kujua kuwa kumbe mwenzetu anaumwa sana wengine hata watamuombea.Lkn itatukumbusha kuwa sisi ni binadamu tumche mola wetuSwali ni picha za Prof Jay akipambania uhai wake zina faida gani kwa jamii? Ni bora angeweka picha ya hospitali bati inavuja, ili watu waende kutengeneza, lakini hii ina ladha mbaya sana.
Ipo insta nimeiona sasa hiviItakuwa ni kwenye hilo app lake la umbea tu, hamna kwingine
Kwahiyo ukiambiwa mtu yuko ICU unadhani yuko kucheza mpira hukoSimtetei huyo Mange wala simjui.Lkn picha hizo labda zinasaidia watu kujua kuwa kumbe mwenzetu anaumwa sana wengine hata watamuombea.Lkn itatukumbusha kuwa sisi ni binadamu tumche mola wetu
2 millions aisee watu wameipokea hamna namnaTena na zaidi siku hizi ukiingia mida ya saa mbili usiku hiyo app inakuwa busy kishenzi...unaambiwa " more than 2millions are busy with this app, so kwela wewe try later
( Ila Wabongo wanapenda umbea uwiiiii)[emoji848]
Sasa hivi hata mimi na wewe tunaweza jikuta huko. Anapost kila mtu hata kama sio maarufuYani huwa nakaa nawaonea huruma watu maarufu hapa nchini yani wasijambe tu taarifa ziko kwenye app? Maisha gani hayo?Bora mie kajamba nani naweza kujamba kwa amani
Tena wakae kwa kutulia!Mange mlimbeba na kumuona shujaa wenu sasa anawavua nguo kaz mnayo na ushabiki maandazi wenu
Mnajifanya kusikitika iyo ni kawaida yenu km mlivyochoma line za tigo af mkasajiri tena line za tigo mnajitekenya na kucheka wenyewe
Tena wakawa wanamuamini kuliko hata kamati kuu ya chama chao!Enzi za Magu walikua wanasema Mange anaupigwa mwingi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bavicha leo wanamuona Mange mbayaKuna watu walinitukana humu nilivyosemaga Mange hana akili timamu!!!Team Mange mpo wapi!!?...
You are very insensitive and uselessSimtetei huyo Mange wala simjui.Lkn picha hizo labda zinasaidia watu kujua kuwa kumbe mwenzetu anaumwa sana wengine hata watamuombea.Lkn itatukumbusha kuwa sisi ni binadamu tumche mola wetu