Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.

Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.

Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.

Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.

MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.

NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.

Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
 
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!
 
Hivi unadhani wote ni ma English speakers?

All in all, Mange ni janga kwa taifa
 
I don’t dig cancel culture. But if there’s someone who deserves to be canceled, it’s her!

She is demented. And some people fear her. I don’t even know why.

How come no one has done her bad all these years? Maybe she isn’t out there like that for people to get their hands on her. Otherwise, it would have been on-site.

But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.

Defund her!
Nyani ngabu nilkuona kwa bodaboda mbagala nakustukia uko mute
 
Sijui ni kanani kale kanguchiro...maana hata marehemu kalikuwa hakamwogopi kalikuwa kanampiga vijembe na wala alikuwa harespond au kutake action kama kwa lissu.Nahisi ni kamtu kazito japo kamekauka nyama.Yaan mi samia namwona kwenye TV kenyewe kalishikana mkono na samia kuzurura kitaa.Aisee.,..no...there are must be something behind her wandugu
 
Sijui ni kanani kale kanguchiro...maana hata marehemu kalikuwa hakamwogopi kalikuwa kanampiga vijembe na wala alikuwa harespond au kutake action kama kwa lissu.Nahisi ni kamtu kazito japo kamekauka nyama.Yaan mi samia namwona kwenye TV kenyewe kalishikana mkono na samia kuzurura kitaa.Aisee.,..no...there are must something behind her wandugu
Kachawi kabobevu
 
Back
Top Bottom