Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Sijui ni kanani kale kanguchiro...maana hata marehemu kalikuwa hakamwogopi kalikuwa kanampiga vijembe na wala alikuwa harespond au kutake action kama kwa lissu.Nahisi ni kamtu kazito japo kamekauka nyama.Yaan mi samia namwona kwenye TV kenyewe kalishikana mkono na samia kuzurura kitaa.Aisee.,..no...there are must be something behind her wandugu

Hakana lolote wala usikahofie.

Ni mtu aliyerukwa na akili na mwendawazimu.

Ndio maana hata JPM alikadharau. Ingawaje kangekuwa bongo nafikiri habari ingekuwa nyingine
 
Hilo la akili mbovu halina ubishi

Huwaga Mimi namchukulia Kama CHIZI Fresh.
Ila anatakiwa apelekwe milembe ya watu dizaini yake.

JPM kuna mambo mengi nilikuwa simkubali lakini huyo CHIZI akisaidizana na Kigogo walikuwa wanatoa matusi utadhani maroboti yasiyo na hisia.
Yale matusi ya nguoni kabisa Jambo ambalo sikuwa nakubaliana nalo.

Hao ndio walipaswa waonje joto la jiwe, kwani walivuka mipaka Kwa kiwango cha juu kabisa.

Niliwahi muandikia kigogo kuwa ajibadilishe tabia Kwa baadhi ya namna ya anavyoandika na kutusi watu.

Alisoma na ku-like pasipo kunijibu chochote, lakini naona bado anaendelea
 
Kigogo aliniblock baada ya kumkaripia
 
Hao dawa yao moja tu:

Siku unakutana naye sehemu ni kumpiga na kuhakikisha unamuachia alama usoni ambayo itadumu naye kwa maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani.

Ila, watu kama hao huwa wanajificha ficha. Na ndo maana hamna aliyewafanyia mbaya hadi hivi sasa.

But, disrespect has no expiry date…
 
😀😀

Tatizo wakirudi wataingia na Gia ya kuokoka na kujiingiza kwenye makanisa haya kuepa Adhabu.

Watajifanya kutoa shuhuda namna walivyokuwa watu Wabaya kisha watatubu.
Watanzania watawashangilia na kuwasifia

Lakini baada ya miezi sita ya kuokoka watarejea katika maisha yao ya kawaida🤣🤣
 
Alimuita mtu ku.-.mer ya kibuyu. Ila anadhani ataishi milele bila kufa.
 
Laana zipo juu yake atakufa vibaya sana zaidi ya kifo cha mzee wake
 
Mama Samia aseme Jambo, maana MangeKimambi anasema yeye NI mtetezi wa serikali ya Mama.
Mama NI lazima amkatae hadharani
Atamkataaje wakati ni msemaji wao? Kama utakumbuka mange aliibika wakati gani?

Mange ni kundi la akina kigogo. Humo huwezi kumkosa handsome wa taifa na mwanawe, mkata umeme na wanaojufanya wenye ccm.

Mange aliweza kupata barua iliyowataka maafisa usalama wamkamate na akatoroka nchi. Unadhani ni suala dogo? Probably ni sehemu yao au ana watu ndani ya mfumo ambao wanampa kila kitu cha nchi hii.

Video ya makonda ameipata wapi? Maanake kuna informer wake anayemtumia matukio haya. Naye ni nani basi maanake habari anazopost mange huwa wa kwanza kabla ya wengine.

Kikwete aliiharibu sana nchi kwa kuendekeza makundi ambayo yameendelwa kuwa shubiri kwa viongozi wanaomfuatia.

Mama naye hayuko salama. Ni jambo la kusubiri kwa muda tu.
 
UJUMBE WA MDAU MALISA GJ KUHUSU WALIOVUJISHA VIDEO YA PROF. JAY ICU MUHIMBILI

"Nimeumia sana kuona Prof.Jay amerekodiwa akiwa mahututi na video hiyo kusambazwa mitandaoni. Hiki ni kiwango cha juu cha kukosa utu. Hata kama ni kutafuta pesa si kwa njia hii. Tujifunze kuheshimu utu kuliko fedha. Jiulize angekua baba yako ungemrekodi? Ikumbukwe kupiga picha hospitali bila kibali "maalumu" ni kosa kisheria.

Sera ya afya (Personal health information Protection Policy) na sheria ya mtandao (Cybercrimes Act 2015) zinalinda faragha ya mgonjwa (patient privacy and confidentiality). Kwahiyo aliyerekodi amefanya kosa KIMAADILI na KISHERIAa .

KIMAADILI amemkosea Jay, familia yake na amewakosea watanzania. Japo kosa hili halina adhabu lakini linabeba laana kwa mhusika. KISHERIA kupiga picha eneo lisiloruhudiwa na kusambaza mitandaoni ni kinyume na sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015. Adhabu yake ni kifungo kisichopungua miaka 3 jela au faini ya TZS 5M au vyote kwa pamoja.

Lakini je nani amerekodi na kwa lengo gani? Wanaoruhusiwa kumuona Jay ni makundi matatu tu. Watoa huduma wanaomhudumia (madaktari na wauguzi), ndugu zake, na viongozi wa serikali.

Video imerekodiwa na mtu kutoka makundi hayo matatu. Hata hivyo kundi la watoa huduma linabeba asilimia kubwa zaidi kuliko makundi mengine. Si rahisi kiongozi wa serikali au ndugu yake kumrekodi. Uwezekano mkubwa upo kwa watoa huduma (madaktari na manesi) ambapo wapo nae muda mwingi.

Kwa kuwa ICU kuna CCTV, nashauri wapitie "footage" wataona ni nani aliyehusika kufanya tukio hili la kinyama. Kama ni mtumishi achukuliwe hatua za kinidhamu na za kisheria.

Hatua za kinidhamu ni kama kusimamishwa kazi na kufutiwa leseni kwa kwenda kinyume na kiapo chake cha maadili. Na hatua za kisheria ni kupandishwa mahakamani na kufunguliwa mashtaka ya kurekodi na kusambaza maudhui yasiyofaa mtandaoni, kinyume na sheria ya makosa ya mitandao ya mwaka 2015.

Akipatikana na hatia, namuomba Hakimu asimpe faini au kifungo bali amtandike vyote kwa pamoja. Atumikie miaka mitatu jela na alipe faini isiyopungua 5M kama sheria inavyoeleza. Hii itakua fundisho kwa "vishohia" wengine wanaodhani matatizo ya mtu ni fursa ya wao kuuza habari.!
 
Wanakuja wasubiri.Aliyepost mtandaoni hajulikani?Au kwa vile amewagusa?Tulieni mmeze chloroquine kwa maji ya mu40!
 
Unajua inakuwa ngumu sisi kuchangia hii mada

Maana hata sisi hiyo video hatujaiona

Na nimeshangaa nyuzi za aina hii zikichangiwa sana na watu ambao hata wao hiyo video hawajaiona

Tendo hili halitofautiani na ile dhana ya wananchi kuchukua hatua mkononi kwa kumwadhibu mwizi na hata kumuua kabisa kwa yowe tu lililosikika mwiziiiiii.

Basi hapo ni mawe, mapanga, marungu, mataili, petrol na kibiriti juu

Baadae ndio anaambiwa hakuwa mwizi waligombana tu!
 
Back
Top Bottom