KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Chuki zimepofusha mioyo ya Watanzania.....wanafurahia matendo mabaya wanayofanyiwa watu wasio wapenda....bila kujua ubaya hauchagui.........Bujibuji Simba Nyanaume hakuna laana ya double standard ndugu sahau wacha profesor j adharirishwe tu nayeye, hivi wakati mange anamdharirisha JPM (R.I.P) ulishatoka hata kukemea acha kulaani kama ulivyolaani hapa? tena maange kachelewa angeisambaza mpaka kwenye fb jf na kila kona tumuone jamaa anavyopigania uhai wake unajuwa kwa binadamu kuna makundi mawili tu UNAYEMPENDA na USIYEMPENDA hivyo tuliyempenda aliyedhalilishwa mwanzo tumeshapoa na sasa zamu ya tusiye mpenda nayeye adharirishwe kwa hiyo msiumie sana take it easy tu hapati mtu laana hapo mnajisumbua tu
Waungwana wanatakiwa kumkemea mtu yoyote anayefanya ubaya bila kuangalia huo ubaya anamfanyia nani maana inawezekana siku moja ukawa mhanga wa ubaya anaoutenda huyo mtu unayemfurahia........
Mange ni mtu wa kulaaniwa kwa watu wote wenye mioyo ya kibinadamu wasio wanafiki......