Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Sasa mtulie mnyolewe kwa chupa!Jiwe alilipwa kadiri ya matendo yake. Period
Jini mange mlililea sasa tulieni liwanyonye damu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtulie mnyolewe kwa chupa!Jiwe alilipwa kadiri ya matendo yake. Period
Kwa sababu akili yako ni sawa na ya mange ndio maana hukuona tusi!Mimi ningekubali hoja yako hii kama ukiweka kitu kibaya kimoja au tusi ambalo Mange alimtukana Jiwe zaidi ya kumweleza yale ambayo Jiwe hakutaka kuyasikia.
Sasa yaleyale yakijirudia kwa J kuna shida gani?Sherehe ya kifo cha Jiwe ilifanywa na watu wengi mpaka makada wa fisiemu. Kwa hilo binafsi sioni tatizo. Labda mengine ya kutukana watu
Ni mwana ccm huyo lakini. Kakutana hadi na Chairwoman wako huko States
Kaeni kwa kutulia!Ni mwana ccm huyo lakini. Kakutana hadi na Chairwoman wako huko States
Sawa. Huu mbona na nyie mnakula. Tatizo lenu nyie huwa hamshibi na hamchagui ubuyu upi mle upi mkataeKaeni kwa kutulia!
Tuendelee kula ubauyu wake kama wa kipindi kile cha jiwe
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Si mlikuwa mnakasifia wakati kanamtukana Magu?
Vipi kwa hili?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Inatakiwa aliwe kiboga alafu arekodiwe anapenda kweli kudhalilisha wenzie !huyu ni wa kuliwa kiboga...
Tena walikaita dada wa taifa. Hadi wakaanzisha kamsemo eti "da'Mange kasema". Hususan huyu Salary Slip alikuwa anakapenda hako kamsemo kwelikweli.Si mlikuwa mnakasifia wakati kanamtukana Magu?
Vipi kwa hili?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sums up all reasons for her being 'untouchable'.But then again we’re talking about Tanzanians here. One of the most, if not the most docile and meek people you will ever find on planet earth.
Liongo likubwa. Inawezekana haupo Tanzania. Kwa ufupi nikudokeze, Mama Samia anachukiwa sana tena sana tena hapendwi mno na makundi yenye ushawishi ya watanzania. Sababu kubwa ni viashiria vya kukandia misingi ya Dkt Magufuli. Mfano kuruhusu mgambo kupora bidhaa za machinga, na kuwarudisha kwenye nafasi wenye madoa ya uadilifu na pia kuonekana wazi wazi kuajiri watu nafasi za serikali kwa misingi ya diniSherehe ya kifo cha Jiwe ilifanywa na watu wengi mpaka makada wa fisiemu. Kwa hilo binafsi sioni tatizo. Labda mengine ya kutukana watu
Unadhani wote hatuelewi kizungu?Hivi unadhani wote ni ma English speakers?
All in all, Mange ni janga kwa taifa
Salari Silipu huyo 🤣🤣🤣Tena walikaita dada wa taifa. Hadi wakaanzisha kamsemo eti "da'Mange kasema"
Kabla hujapost video ya Jay, ulionywa sana na wadau wako wa Instagram kwamba kupost video ya mgonjwa si Jambo jema, lakini ukakaidi, ukapost.
Alipoku Waziri Mkuu Peter Pinda alisema kama umeonywa na umekaidi, upigwe TU.
Ndivyo ilivyokuwa kwako, umeonywa, umekaidi kichapo kiwe juu yako.
Kama asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, na sis walimwengu wa taifa hili tumechoshwa na tabia zako za hovyo za kushambulia utu wa watu, kuingilia Uhuru wao wa faragha, kuwatukana, kuwadhalilisha na kuwatendea kila ubaya.
MangeKimambi, Mungu hayupo likizo, na amesikia kilio Cha muda mrefu. Machozi ya Watanzania wengi walio umizwa na wewe yamefika kwenye kiti cha enzi.
NI wakati wako sasa kutubu na kuomba msamaha.
Ivumayo haidumu, ngoma ikilia sana mwisho wake NI kupasuka
Nimeshamjumlisha.Salari Silipu huyo 🤣🤣🤣
J hana matendo yoyote maovu kustahili kulipwa hayo. Kwakuwa ni mwanadamu anaweza kuwa na madhaifu yake lakini hayako kwa public au yahusianayo na kutoa uhai wa mtu ukilinganisha na bwana yule aliyekuwa katili, muuaji na mwenye chuki za wazi kwa yeyote atakayempinga.Kwa hiyo na J analipwa kwa kadri ya matendo yake?
Mliua wote?J hana matendo yoyote maovu kustahili kulipwa hayo. Kwakuwa ni mwanadamu anaweza kuwa na madhaifu yake lakini hayako kwa public au yahusianayo na kutoa uhai wa mtu ukilinganisha na bwana yule aliyekuwa katili, muuaji na mwenye chuki za wazi kwa yeyote atakayempinga.