Waweza kunipa mfano mmoja wa kitu kibaya alichofanya Mange kwa Jiwe, kama ni matusi na siyo kitendo ntajie tusi moja tu. Naomba usikimbie.Unavyo ongea mtazani mlikuwa mnaua wote?
Mbona swali la kawaida kupanic kwako. Kwani Mange kutokufanya vitu sahihi alianza leo!! Mbona tokea zamani, ila mlisifia enzi za jiwe now anayafanya yaleyale kama enzi za jiwe mnamuona hana maana,mvumilieni tu huyo hata mkifunga App yake bado ana account Instagram.