Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Wito: Waliomrekodi na kusambaza video ya Mbunge mstaafu Prof Jay akiwa ICU wachukuliwe hatua

Unavyo ongea mtazani mlikuwa mnaua wote?

Mbona swali la kawaida kupanic kwako. Kwani Mange kutokufanya vitu sahihi alianza leo!! Mbona tokea zamani, ila mlisifia enzi za jiwe now anayafanya yaleyale kama enzi za jiwe mnamuona hana maana,mvumilieni tu huyo hata mkifunga App yake bado ana account Instagram.
Waweza kunipa mfano mmoja wa kitu kibaya alichofanya Mange kwa Jiwe, kama ni matusi na siyo kitendo ntajie tusi moja tu. Naomba usikimbie.
 
Deep katika mioyo yao wameshajua ukweli basi tuu wana ujinga mwingi wanashindwa kutamka hadharani. Hata kichaa aliyepo milembe anajua tofauti ya awamu zote zilizopita, tuwaache muda unazidi kuongea na taratibu mambo yanazidi kujidhihirisha, mfano hili la mange, walishangilia enzi za JPM sasa wanalia, na huyo mama yao wanaemshangilia ameshaanza kuwaliza na atawaliza sanaaa na watajuta
Yaani nikimfikiria Mama Samia mpaka machozi. Aliachiwa nchi ikiwa inaheshimika, watu wakiwa wanajitambua na kuheshimu serikali na viongozi. Ila yeye kaingia na kuanza kudanganywa na pointi nyingi alizipotezea kwenye chanjo ya kovid, machinga. Yaani Mama anakandiwa mpaka na mawaziri wake wanamuona hana dhamira njema ya Tanzania hata TISS wenyewe naamini wanasubiri muda tu wachezeshe
 
Hapa tunapozungumza mbona ananyooshwa huko tayari, tusubiri tu maji yachemke
 
Waweza kunipa mfano mmoja wa kitu kibaya alichofanya Mange kwa Jiwe, kama ni matusi na siyo kitendo ntajie tusi moja tu. Naomba usikimbie.
Huwezi kuona sababu ya mahaba yako kwa Mange, so na kushangaa sasa umekasirika. Yaani ni kukimbie wewe......... yaaan wewe....
👇👇👇
Aliposambazwa JPM walikuwa wanakenua humu.
 
Tena walikaita dada wa taifa. Hadi wakaanzisha kamsemo eti "da'Mange kasema". Hususan Salary Slip alikuwa anakapenda hako kamsemo kwelikweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hadi Lisu ilikuwa haipiti dakika hajachungulia kwa da mange alichopost!

Ngoja wavune walichopanda wajinga hawa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
J hana matendo yoyote maovu kustahili kulipwa hayo. Kwakuwa ni mwanadamu anaweza kuwa na madhaifu yake lakini hayako kwa public au yahusianayo na kutoa uhai wa mtu ukilinganisha na bwana yule aliyekuwa katili, muuaji na mwenye chuki za wazi kwa yeyote atakayempinga.
Hata kigogo anachofanya sasa hivi ni sahihi kabisa!

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna mtu alikuwa mkabila na mdini kuliko Jiwe? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nafasi zote nyeti nadhani unajua ni kabila gani walikuwa wanawekwa hapo. Emezungumzia makundi yenye ushawishi, naomba unitajie mawili katika hayo makundi unayosema yana ushawishi.
Angalizo, machinga siyo kundi lenye ushawishi bali ni kundi la masikini/wanyonge wanaopenda kuona tajiri akikomolewa kwani wanaamini umasikini wao unasababishwa na tajiri.
Taja hapa hizo nafasi nyeti

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Akifa jambazi lazima watu watashangilia tu, na wala kwenye jamii hawataonekana kukosea kwa kitendo hicho. Lakini kitendo hicho chicho kikifanywa kwa mtu mwema/wakawaida lazima jamii ishangae kwani inaona mtu huyo hakustahili kutendwa hayo. Swali jingine
Sasa shangilia na hili!

Tena kawaambia kabisa mnaona anawa bull watu nyie @@1#£ vibuyu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu mange si ndo kafiwa na mama yake mlezi hivi karibuni, au tayari keshamaliza matanga......aiseee ni shida!
 
Baba yake alibakwa kigoma na watu 10, akajiua kwa kujipiga risasi.
Mama yake aliugua ukichaa, hapo inategemea mtoto atakuwaje?
 
Nilimu-unfollow alipoanza kutukana bashite na jpm, sikuwa nawakubali hao watu ila pia sikupenda namna alivyokuwa anaporomosha matusi bila hata chembe ya haya. Kichwa chake sio kizima yule mtu walah.
 
Mpuuzi umeandika kwa urefu Wala hakuna chenye maana hata kimoja zaidi kumsifia marehemu tu kwendaaa
Mpuuzi ni wewe unayemshabikia Mange kimambi.
Wakati ule mlimuita dada wa Taifa.
Leo kawageukia nyinyi wenyewe.
 
Back
Top Bottom