Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Ni hatari Sana pale mtetezi wa wanyonge anapoamua kuwanyonga live wanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi,hasara kwako Kama watu wameuwawa kwenye uchaguzi sembuse kujilipuaMpk siku mtu akajimwagie petroli pale getini ndiyo akili zitawakaa sawa
Tatizo Watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea Ndio maana tunanung'unika kutwaTukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu wanaojitawala.
Hivyo, natoa wito kwa wanasiasa wa upinzani (CCM ndio walileta na kupitisha hii sheria katili hivyo siwahusishi), wanaharakati na wadau wengine kuungana na kuanzisha kampeni ndani na nje ya nchi kuipinga sheria hii iliyowekwa na watu ambao wamesahau walikotoka huku baadhi yao walisoma vyuo vikuu bure kabisa kwa gharama za serikali.
Ikiwezekana,tushawishi taasisi za fedha za kimataifa na nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada kwa serikali mpaka watapobadili au kufuta kabisa hii sheria kandamizi kama walivyofanya katika kutetea haki ya mtoto wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua.
Njia mojawapo iwe ni kutumia mitandao ikiwa ni pamoja na kuanzisha hashtags za kupinga uwepo wa hii sheria kwani haizingatii mishahara na vipato duni vya watanzania walio wengi.
Niseme tu, Waafrika wanastahili kuendelea kutawaliwa kwa njia kama hizi, vinginevyo tutaumizana sana.
Sijui hizi ni roho za namna gani!!
Nakushauri ukaombewe,leo jumapili.Tatizo Watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea Ndio maana tunanung'unika kutwa
Tii sheria za nchi bila shuruti zozote utastarehe
Hii sio serikali ya kugeuza nchi shamba la Bibi hayo mambo hakuna
Hivi wewe hauna macho ujionee vile Serikali hii imewaneemesha Wananchi?
Kila mtu mambo yake Safi na maisha mazuri mnoo
Tanzanian ya Magufuli raha sana kuanzia
1 huduma za Afya
2 shule bure
3 maji kila pahala
4 Miundo mbinu
5 ajira za kumwaga
Kweli Tanzania tupo vizuri sana mpaka nchi jirani zinatuonea wivu
Ninyi mlioathiriwa na hiyo Bodi anzisheni movement then mtaungwa mkono.Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu wanaojitawala.
Hivyo, natoa wito kwa wanasiasa wa upinzani (CCM ndio walileta na kupitisha hii sheria katili hivyo siwahusishi), wanaharakati na wadau wengine kuungana na kuanzisha kampeni ndani na nje ya nchi kuipinga sheria hii iliyowekwa na watu ambao wamesahau walikotoka huku baadhi yao walisoma vyuo vikuu bure kabisa kwa gharama za serikali.
Ikiwezekana,tushawishi taasisi za fedha za kimataifa na nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada kwa serikali mpaka watapobadili au kufuta kabisa hii sheria kandamizi kama walivyofanya katika kutetea haki ya mtoto wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua.
Njia mojawapo iwe ni kutumia mitandao ikiwa ni pamoja na kuanzisha hashtags za kupinga uwepo wa hii sheria kwani haizingatii mishahara na vipato duni vya watanzania walio wengi.
Niseme tu, Waafrika wanastahili kuendelea kutawaliwa kwa njia kama hizi, vinginevyo tutaumizana sana.
Sijui hizi ni roho za namna gani!!
Nyie wakopeshwaji hamkawii kuwageuka na kuisifu mikopo na mkopeshaji!Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu wanaojitawala.
Hivyo, natoa wito kwa wanasiasa wa upinzani (CCM ndio walileta na kupitisha hii sheria katili hivyo siwahusishi), wanaharakati na wadau wengine kuungana na kuanzisha kampeni ndani na nje ya nchi kuipinga sheria hii iliyowekwa na watu ambao wamesahau walikotoka huku baadhi yao walisoma vyuo vikuu bure kabisa kwa gharama za serikali.
Ikiwezekana,tushawishi taasisi za fedha za kimataifa na nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada kwa serikali mpaka watapobadili au kufuta kabisa hii sheria kandamizi kama walivyofanya katika kutetea haki ya mtoto wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua.
Njia mojawapo iwe ni kutumia mitandao ikiwa ni pamoja na kuanzisha hashtags za kupinga uwepo wa hii sheria kwani haizingatii mishahara na vipato duni vya watanzania walio wengi.
Niseme tu, Waafrika wanastahili kuendelea kutawaliwa kwa njia kama hizi, vinginevyo tutaumizana sana.
Sijui hizi ni roho za namna gani!!
Tuache kuzunguka hii shida kaileta Magufuli tusione aibu wala woga kuisema, think tank uchwara na waoga wakamkubalia baada ya kuja na mikakati mfuu ya kiuchumi ya ndege, vivuko, reli mpya, bwawa la umeme, kuhamia dodoma, serikali ilitanua wigo mithili ya watoa tigo kwenye matumizi wakati kapu halisia halitoshi,huyu labda awe mamluki ila atakuwa na maisha mafupi baada ya kuondoka 2025, atazodolewa live live maana anatumia uchumi wa kijima sana. Miundombinu mingi budget items za kupiga pesa, 10%, shareholder syndrome katika ufisadi, ukizoea kupitia wizara ya ujenzi na fursa ya migodi mipya haipo hii ndio aina endelevu ya ufisadi wa Marais wajao pia kauli mbiu ya kula na kipofu. Tanzania inawatu wa kipumbavu sana mnajua ukweli tatizo nani mnakuwa wanafiki semeni ukweli bodi ya mikopo kikwete aliiacha vizuri tu. Rais ana wajibu wa kuwa baba wa huruma, mfariji, msikivu, mwenye hekima, busara, mstahimilivu, mkomavu, jasiri wa kuhimili kukosolewa vinginevyo hataongeza thamani yoyote kupitia hicho cheo.Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya asilimia 6 kama retention fee, ni sheria katili, mbaya na haistahili kuwepo katika nchi ya watu wanaojitawala.
Hivyo, natoa wito kwa wanasiasa wa upinzani (CCM ndio walileta na kupitisha hii sheria katili hivyo siwahusishi), wanaharakati na wadau wengine kuungana na kuanzisha kampeni ndani na nje ya nchi kuipinga sheria hii iliyowekwa na watu ambao wamesahau walikotoka huku baadhi yao walisoma vyuo vikuu bure kabisa kwa gharama za serikali.
Ikiwezekana,tushawishi taasisi za fedha za kimataifa na nchi wahisani kusitisha mikopo na misaada kwa serikali mpaka watapobadili au kufuta kabisa hii sheria kandamizi kama walivyofanya katika kutetea haki ya mtoto wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua.
Njia mojawapo iwe ni kutumia mitandao ikiwa ni pamoja na kuanzisha hashtags za kupinga uwepo wa hii sheria kwani haizingatii mishahara na vipato duni vya watanzania walio wengi.
Niseme tu, Waafrika wanastahili kuendelea kutawaliwa kwa njia kama hizi, vinginevyo tutaumizana sana.
Sijui hizi ni roho za namna gani!!
Eti wapinzani wawasemeee mavi yenu watumishi msio na shukrani Tena hayo makato yazidi Mara alfu huku salary slip zenu zikijaa madeni ya
Maboto
Nmb
Crdb
Letshego
Faidika
ABC
Mnafiki tu wewe.Nyie ndio watetezi wa Jiwe.Ninyi mlioathiriwa na hiyo Bodi anzisheni movement then mtaungwa mkono.
Yaani mmekaa tu mnasubiri eti wanaharakati ingilieni kati, kweli ???
Sasa kama wewe unayeumia huoni tatizo unataka vipi mtu mwingine akupiganie
AiseeMnafiki tu wewe.Nyie ndio watetezi wa Jiwe.
Yeye mbona alisoma bure!Mnafikiri trilioni mbili zinapatikanaje?
Umeongea kwa uchungu mno. Pokea like yangu ya upendo.Walibadilisha sheria ya makato kutoka 8% mpaka 15%. Mabadiliko haya yakawahusu hadi wale ambao walikuwa wanakatwa 8% katika mshahara. Wadau walipiga kelele lakini bodi hawakujali.
Sasa wameanza tena uhabaishaji wao kwa kuongeza makato (retention fee) kitu ambacho hakipo katika mikataba ambayo tulisaini miaka hiyo mfano mkataba wa bodi wa mwaka 2009.
Bodi wanatakiwa waheshimu mikataba tuliyosainishana, mfano mkataba wao wa mwaka 2009.
Bodi wakumbuke kuwa, mabadiliko yoyote hayapaswi kuwaathiri wale ambao tayari wamo katika makubaliano ya awali.
Kukaa kwetu kimya wasidhani tunaridhika na unyanyasaji wao. La hasha! tunasubiri muda tutapata haki yetu na kulipwa fidia kubwaaa.
Ni kwamba, nimeitunza nakala ya mkataba wa bodi niliousaini mwaka 2009.
Pia, kwa sasa, kila mwezi nadownload salary slip, nazi save kwenye mtandao, pia naziprint mpaka nitakapomaliza deni mwaka 2026.Salary slip ikiwa nyeupe, itakuwa ngumu kukubali makato mengine ya bodi, bodi wakilazimisha, itabidi kwenda mahakamani.
Kutokana na kuvunja mkataba, nimepanga kuwashitaki bodi ya mikopo hata kama ni mwaka 2040! Najua ipo siku mahakama itakuwa huru. Kwahiyo, chonde chonde bodi, jaribuni kufikiria future. Mtakuja kulipa fidia kubwa huko mbeleni.
Kwa sasa mmeshika mpini tumekaa kimya ila wengine tuna jambo letu, tunakusanya ushahidi. Cha ajabu, ikifika mwaka 2040 mahakama ikiamua tulipwe pesa ndefu kama fidia, wapo watakaotuona sisi siyo wazalendo, wakati leo tunavunjiwa mikataba, na wamekaa kimyaa.
Ushauri wa bure, bodi iombeni serikali hela ya kuwakopesha wanafunzi, mana ni jukumu la serikali kuwasomesha raia wake. Mnapotaka kujiendesha ndipo mnapoanza kutubambikia madeni, mwisho wa siku tunaishi maisha ya bila furaha.