Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social media anafyatuka, ndio anatoa sumu wenyewe wanaita.
Nachokiona naona Kama tunajidhalilisha wenyewe vile na kuwapa sifa Yanga, Simba haina mpango na Zimbwe, hadi wameamua kukaa kimya ujue hawamhitaji tena, hayuko kwenye mipango yao.
Suala kuwa sijui Fahdu alimtaka Balla Conte nyie kawaambia nani?
Mbona mnapenda sana kusikiliza maneno ya kijinga jinga, tuwaache viongozi waendelee na mipango hadi mwisho tutajua, tusiweke mashine kızı kWa uongozi, sio poa