Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Binafsi ninakumbuka mambo mawili kuhusu zimbwe nilimskia msemaji wa Simba akihojiwa na kituo kimoja Cha redio amesema walifanya mazungumzo nae ya kumbakisha kabla mkataba wake haujaisha lakini hawakufika makubaliano maana yake klabu ilionyesha Nia ya kumuhitaji..Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social media anafyatuka, ndio anatoa sumu wenyewe wanaita.
Nachokiona naona Kama tunajidhalilisha wenyewe vile na kuwapa sifa Yanga, Simba haina mpango na Zimbwe, hadi wameamua kukaa kimya ujue hawamhitaji tena, hayuko kwenye mipango yao.
Suala kuwa sijui Fahdu alimtaka Balla Conte nyie kawaambia nani?
Mbona mnapenda sana kusikiliza maneno ya kijinga jinga, tuwaache viongozi waendelee na mipango hadi mwisho tutajua, tusiweke mashine kızı kWa uongozi, sio poa

Wewe dada.Ni wajinga tuu ndo wanaendeshwa na vyura....
Tunavimbiana kidogo kaka..Wewe dada.
Na vipi kuhusu Mwekezaji kutumia Bilioni 87 kwenye kuihudumia timu!Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social media anafyatuka, ndio anatoa sumu wenyewe wanaita.
Nachokiona naona Kama tunajidhalilisha wenyewe vile na kuwapa sifa Yanga, Simba haina mpango na Zimbwe, hadi wameamua kukaa kimya ujue hawamhitaji tena, hayuko kwenye mipango yao.
Suala kuwa sijui Fahdu alimtaka Balla Conte nyie kawaambia nani?
Mbona mnapenda sana kusikiliza maneno ya kijinga jinga, tuwaache viongozi waendelee na mipango hadi mwisho tutajua, tusiweke mashine kızı kWa uongozi, sio poa
Hivi mngepitia halo ya kuwa ombaomba kama yetu, simungeshuka daraja nyie.Tunavimbiana kidogo kaka..
Ahaha mimi wala sinaga stress nje ya hapa JF sinaga mambo ya ushabiki..so najifurahisha tuu timu hainipi stress wakishuka watajua wenyewe...😃Hivi mngepitia halo ya kuwa ombaomba kama yetu, simungeshuka daraja nyie.
Hahahaha. Hapo nimekuelewa dada angu mzuri mzuri wewe.Ahaha mimi wala sinaga stress nje ya hapa JF sinaga mambo ya ushabiki..so najifurahisha tuu timu hainipi stress wakishuka watajua wenyewe...😃