Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

Mkiwa na vuvuzela kama akina GB64 na kisugu ambao kila kukicha ni kusifia sioni simba kuondoka kutoka kwenye ombwe hili la kutoelewana hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…