Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.

Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.

Sweet Ray rafiki yangu, kapata ulemavu wa kudumu akiwa kwenye bodaboda.

Wadada mkiwa kwenye bodaboda mnajiona mko salama sana, mnabinua vijikalio vyenu huku mkipekenyua kurasa za instagram.

Upekuzu huo huwapelekeni mbali kiasi kwamba mnasahau kuwa mna jukumu la kumuongoza dereva na chombo chake, maana madereva wa bodaboda ni bangi na dabokiki paseee.

Matokeo yake mnajikuta tayari ajali Isha wameza.

With wangu kwenu:-
1. Usimchukue dereva MWENYE kiduku au turn dread, tafuta dereva mtu mzima mwenye staha zake.

2. Usimchukue dereva MWENYE kuvaa ndala, tafuta mwenye viatu, utanishukuru baadae.

3. Mwambie mapema dereva aende mwendo wa pole hata Kama una haraka, ni salama zaidi kwako.

4. Usitumie simu kwenye bodaboda, itakuondolea concentration, utashindwa kumuongoza dereva.

5. Vaa kofia ngumu, usipande bodaboda ambayo haina kofia, na ni lazima uvae kofia.

6. Sali kabla hujaanza Safari yako, mwombe Mungu akutangulie na akufikishe salama.

Wishing you all the best
 
At last.

Good advice dude
 
Sipandi hayo makitu mimi. Ni hatari sana.

Wanawake condom tu hawajali wanaanzia wapi kujali boda boda.

Anakwambia ana allergy na condom ama zinamuumiza anakushawishi muende kavu huku hata hakujui background yako.. boda boda akimpa helmet mwanamke anakataa kuvaa anasema helmet chafu ama itamkata nywele zake. Yaani anajali nywele kuliko uhai wake
 
Harafu nywere zenyewe bandia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bodaboda ilichukua uhai wa rafiki yangu dah. Tena bado kijana mbichi kabisa.

Kuna unaweza jisemea sitakaa ni pande boda. Ila Kuna sehem itafika inakua haikwepeki ila Kuna vitu inabidi uzingatie kama ushauri wa mtoa mada alivyo sema other wise unaweza ishia pabaya
 
Ushauri wangu kwa serikali bodaboda nazo zipunguzwe, kama wanavyo dili na machinga sasa wageukie na boda boda nazo.
Kwanza ni hatarishi, wanao ziendesha wengi wao hawastahili, zimekuwa nyingi mno mjini, zinasababisha msongamano mkubwa na mengine mengi ambayo yanasababisha kuwepo na sababu ya boda boda kuondolewa au kupunguzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom