Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

calculation zao za kukatiza mataaaa, huwa zinaniwazisha sanaaa,

wanapo gongana wao kwa waoo ndo tenaaa wabaki ukiwaza

Wito - abiria usimruhusu dereva boda boda avuke mataa endapo taa haziruhusu
Wakichapana wenye kwa wenyewe mara nyingi kifuatacho ni party kwa Israel
 
Ushauri wangu kwa serikali bodaboda nazo zipunguzwe, kama wanavyo dili na machinga sasa wageukie na boda boda nazo.
Kwanza ni hatarishi, wanao ziendesha wengi wao hawastahili, zimekuwa nyingi mno mjini, zinasababisha msongamano mkubwa na mengine mengi ambayo yanasababisha kuwepo na sababu ya boda boda kuondolewa au kupunguzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye class C ndio waruhusiwe kuendesha bodaboda
 
Ha
Harafu nywere zenyewe bandia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Harafu nywere bandia sio nzuri. Mara nyingi sana naona watu wanawashwa harafu nywere bandia huwa ndio SABABU.
Harafu nywere bandia zinaleta ukurutu na papasi mwilini.
Harafu nywere bandia sizipendi ila Basi tu
 
Wanawake condom tu hawajali wanaanzia wapi kujali boda boda.

Anakwambia ana allergy na condom ama zinamuumiza anakushawishi muende kavu huku hata hakujui background yako.. boda boda akimpa helmet mwanamke anakataa kuvaa anasema helmet chafu ama itamkata nywele zake. Yaani anajali nywele kuliko uhai wake
Ahsante kutukumbusha, hapo pa helmet umenigusa Mimi kabisa, Jana tu nimegoma kuivaa nimetengeneza tunywele twangu naanzaje kuziharibu na helmet jamani.!?
Ila anyways, tutajitahidi kwa usalama wetu ila nyingi huwa chafu sana jamani..!

NB; nanyoa, siyo nywele za bandia msije nishambulia..!
 
calculation zao za kukatiza mataaaa, huwa zinaniwazisha sanaaa,

wanapo gongana wao kwa waoo ndo tenaaa wabaki ukiwaza

Wito - abiria usimruhusu dereva boda boda avuke mataa endapo taa haziruhusu
Wana mabalaa aisee
 
Ahsante kutukumbusha, hapo pa helmet umenigusa Mimi kabisa, Jana tu nimegoma kuivaa nimetengeneza tunywele twangu naanzaje kuziharibu na helmet jamani.!?
Ila anyways, tutajitahidu kwa usalama wetu ila nyingi huwa chafu sana jamani..!

NB; nanyoa, siyo nywele za bandia msije nishambulia..!
Mnathamini Sana nywele kuliko uhai
 
Ahsante kutukumbusha, hapo pa helmet umenigusa Mimi kabisa, Jana tu nimegoma kuivaa nimetengeneza tunywele twangu naanzaje kuziharibu na helmet jamani.!?
Ila anyways, tutajitahidu kwa usalama wetu ila nyingi huwa chafu sana jamani..!

NB; nanyoa, siyo nywele za bandia msije nishambulia..!
Mnathamini Sana nywele kuliko un
 
Wanawake condom tu hawajali wanaanzia wapi kujali boda boda.

Anakwambia ana allergy na condom ama zinamuumiza anakushawishi muende kavu huku hata hakujui background yako.. boda boda akimpa helmet mwanamke anakataa kuvaa anasema helmet chafu ama itamkata nywele zake. Yaani anajali nywele kuliko uhai wake
Eti condom zinawawasha
 
Huwa nashangaa ninapoona mtu kupanda bodaboda bila mkono mmoja kushikilia pale nyuma ya seat. Hilo nimeliona zaidi kwa wanawake. Wanakuwa relaxed mno!

Ukishikilia na ukawa makini na safari inavyokwenda, una nafasi nzuri ya kureact kiusalama zaidi pale dharura inapotokea.

Mimi nadhani hilo ni muhimu na rahisi zaidi kuliko kuanza kukagua ni dereva yupi amevaa smart.

Dhumuni la kuchukua bodaboda ni ili uende unapokwenda kwa haraka. Sasa itakuchukua muda gani kuanza kukagua uvaaji wa madereva? Wengi wao ndiyo wavaaji wa hilo vazi la taifa kwa vijana, ndala na kiduku au rasta. Halafu kuna maeneo mengine, asilimia kubwa ya bodaboda hawana helmet hata ya dereva mwenyewe, sijui huwa wanaibiana au vipi.
 
Wanawake condom tu hawajali wanaanzia wapi kujali boda boda.

Anakwambia ana allergy na condom ama zinamuumiza anakushawishi muende kavu huku hata hakujui background yako.. boda boda akimpa helmet mwanamke anakataa kuvaa anasema helmet chafu ama itamkata nywele zake. Yaani anajali nywele kuliko uhai wake
Akipata mimba anasahau kabisa utamu alioupata
 
Back
Top Bottom