Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

Mimi nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali
 
TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.

Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.

Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.
Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
Mimi pia kwa upande wangu, nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri.
Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.

TAL na Chadema Wasaidiwe!.

Paskali

Mmeshalipwa hela huko saivi mmeanza kujitoa ufahamu?

Tunajua hizi ni sehemu za mbinu za CCM na wajinga wachache waliopo huko TISS kufanya spinning na kueneza propaganda mfu ili kuwakatisha tamaa Watanzania wanaotaka mabadiliko ya kweli.

Sikiliza Pascal! Tanzania hakuna uchaguzi huru na wa haki. Na uthibitisho wa hilo ni maneno ya aliyekuwa Waziri wa Habari aliyoyaongea akiwa Waziri wa Habari Ndug Nape Nnauye aliyesema wazi mbele ya vyombo vya habari kuwa hapa Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi kwenye chaguzi ila anayetangaza matokeo.

Kama wewe ni mwandishi unayejitambua na hauendeshwi na tumbo swali ulilopaswa kujiuliza ni Je bila Reforms tunaenda kwenye uchaguzi ili iweje?

Ni heri tuseme kwenye nchi hii hakuna uchaguzi kuliko kupoteza mabilioni na trilioni ya pesa za walipakodi wa nchi hii kufanya maigizo ya kujifanya tunafanya uchaguzi kumbe sio kura za wananchi zinazoamua matokeo.

Hoja ya Lissu tutaiunga mkono na kama Lissu alivyosema, tusipofanikiwa sisi watakuja kufanikiwa watoto wetu au wajukuu zetu.

Kama sisi tunaipenda kweli nchi yetu na ni wazalendo kweli, lazima tulijenge Taifa letu kwenye misingi imara ya Haki na Ukweli. Na hapo ndipo Mwenyezi Mungu atatubariki.
 
NO REFORM NO ELECTION, kwa sababu hizo reform hazitafanyika, uchaguzi 2025 utapoa na utakuwa peaceful sana.
 
TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.

Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.

Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Kingine ni hiki, No reform no election ni Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama na wenye baraka za Mkutano mkuu, hakuna atakayeubadilisha.

Halafu mnataka Chadema iingie kwenye uchaguzi kwa hali hii ambayo mwamuzi wa mwisho ni Mchengerwa ili iweje, Mnataka wauawe wanachadema wangapi ili muelewe hoja ya Chadema?
 
CHADEMA wabane hapo hapo
 
Nilipoanza kusoma nikaona umeanza kwa kumpa maujiko na vyeo kibao, nikajua tu mwisho utamsagia kunguni mazee....😜
Ila TAL anapaswa kupunguza uanaharakati ili ajikite kwenye siasa na hoja pasipo na jazba..😊
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika kutoka TAL mwanaharakati into TAL Stateanship!.

TAL lazime abadilike kuachana na vibwagizo vya uanaharakati, into real politics vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Mimi pia kwa upande wangu, nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,

Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.

TAL na Chadema Wasaidiwe!.

Paskali

Baada ya Lowassa kwenda upinzani CHADEMA waliachana na siasa za harakati na kufanya izo siasa unazozitaka je nini kilibadilika kwenye uchaguzi wa 2015 na 2020?
 
Mmeshalipwa hela huko saivi mmeanza kujitoa ufahamu?

Tunajua hizi ni sehemu za mbinu za CCM na wajinga wachache waliopo huko TISS kufanya spinning na kueneza propaganda mfu ili kuwakatisha tamaa Watanzania wanaotaka mabadiliko ya kweli.

Sikiliza Pascal! Tanzania hakuna uchaguzi huru na wa haki. Na uthibitisho wa hilo ni maneno ya aliyekuwa Waziri wa Habari aliyoyaongea akiwa Waziri wa Habari Ndug Nape Nnauye aliyesema wazi mbele ya vyombo vya habari kuwa hapa Tanzania sio kura za wananchi zinazoamua mshindi kwenye chaguzi ila anayetangaza matokeo.

Kama wewe ni mwandishi unayejitambua na hauendeshwi na tumbo swali ulilopaswa kujiuliza ni Je bila Reforms tunaenda kwenye uchaguzi ili iweje?

Ni heri tuseme kwenye nchi hii hakuna uchaguzi kuliko kupoteza mabilioni na trilioni ya pesa za walipakodi wa nchi hii kufanya maigizo ya kujifanya tunafanya uchaguzi kumbe sio kura za wananchi zinazoamua matokeo.

Hoja ya Lissu tutaiunga mkono na kama Lissu alivyosema, tusipofanikiwa sisi watakuja kufanikiwa watoto wetu au wajukuu zetu.

Kama sisi tunaipenda kweli nchi yetu na ni wazalendo kweli, lazima tulijenge Taifa letu kwenye misingi imara ya Haki na Ukweli. Na hapo ndipo Mwenyezi Mungu atatubariki.
Exactly..
 
Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
 
Back
Top Bottom