Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena ndiyo wizi wa CCM uliongezekaBaada ya Lowassa kwenda upinzani CHADEMA waliachana na siasa za harakati na kufanya izo siasa unazozitaka je nini kilibadilika kwenye uchaguzi wa 2015 na 2020?
Kwani mumeo hawezi kujadili mpk Lisu pekee?Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Soma mada kwanza, maana tangu usahau siku zako kwenye daladala, akili yako ina mawengeKwani mumeo hawezi kujadili mpk Lisu pekee?
Sister angu nakujua vizuri snSoma mada kwanza, maana tangu usahau siku zako kwenye daladala, akili yako ina mawenge
Swali la msingi kwanini hawataki mfumo ubadilike?Tushughulike nao hawa CCM
Imeisha hiyo mkuuCHADEMA wabane hapo hapo
Hiyo namba 4 imeharibu kila kitu kizuri ulichoandikaUshauri wangu kwa CDM ni huu;
1. Waunganishe chama kwa dhati. Hii inawezekana tu kama watawakaribisha na kutambua mchango na uwezo wa wale ambao walikuwa upande wa Freeman Mbowe. Watu kama Kigaila, Suzan Kiwanga na Mwalimu wana uwezo mkubwa wa uhamasishaji na ku organise at the grassroot level. Watu kama Ntobi, Nyerere na wengine ni wapambanaji wazuri sana. Watu kama Ruge wasiachwe pembeni.
2. Waepuke lugha za uchonganishi kama aliyotumia Lissu dhidi ya Aidan. Inawezekana kuwa hampendi lakini athamini mchango wake na constituency yake. Watu kama Mchome wajibiwe hoja zao kwa heshoma badala ya kukimbilia kuwatuhumu kuwa wanatumiwa.
3. Wakubali mjadala na mwana siasa yeyote kwa sababu itatoa nafasi za bure kunadi sera zao na kuonyesha udhaifu wa upande wa pili. Lissu hapungukiwi kitu kufanya mdahalo na Wasira. Hata Chalamila akiomba mdahalo wamkubalie.
4. Waangalie namna ya kushirikiana na Halima Mdee, Esther Bulaya na wengine ambao wanaonyesha utayari wa kuipambania Chadema. Talent zao zinahitajika. Wanaweza kuwapa masharti kuwa hawataruhusiwa kugombea uongozi kwa miaka 10.
5. Wajiandae kwa dhati kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na ile ya 2029 na 2030.
6. Wajiandae kupambana ili kuhakikisha kuwa Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2028.
7. Waboreshe website yao kwa kutoa kipaumbele kwa wanachama na viongozi wa chini kuliko hawa wa kitaifa.
8. Wawatangaze zaidi wake wote ambao wameumizwa kwa ajili yq chama chao. Wahakikishe waatu kama Mzee Kibao, Soka, Saa Nane hawauliwi. Watu kama yule mama aliyekaa ndani kwa muda mrefu wakatiwa kesi ya Mbowe waenziwe. Wanasheria wao wapambanaji nao waenziwe. Wakina Martin nao waenziwe. Wale vijana waliokuwa kila siku wanatembelea mahabusu waenziwe.
9. Wawe na mfumo wa wazi wa kuchangia kwa hali na mali.
Amandla....
hulka ya kiburi na ujuaji wa kitapeli wa kiongozi wa chadema, iko mpaka kwa wanachama wa chadema.Wanabodi
Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x
Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika kutoka TAL mwanaharakati into TAL Stateanship!.
TAL lazime abadilike kuachana na vibwagizo vya uanaharakati, into real politics vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.
Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.
Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.
Mimi pia kwa upande wangu, nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
- Nilimshauri Lissu aache uanaharakati aonyeshe statemamship JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship
- 2015 Chadema ilikuwa waingie ikulu lakini kuna makosa waliyafanya, Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... sasa Chadema wana fursa tena ambayo imejotokeza kama zali, wasiridie makosa!
- Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua hapa niliwashauri Chadema namna ya kujinasua, ushauri wangu umefuatwa ndio Chadema hii inayoiona sasa, umeutambua uchaguzi na sio uchavuzi, imelitambua Bunge, imemtambua rais, sasa Chadema inalamba ruzuku ndio hii ipo!.
- Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane! hapa Chadema walikuwa hawamtambui mbunge wake, baada ya ushauri huu, sasa wanamtambua!.
- Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote! hapa nimewaombea msamaha hawa wabunge, Chadema haina wanawake wowote wa calibre ya Halima Mdee, Ester Bulaya na Esta Matiko!.
- Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini hapa niliilaumu Chadema hawajui wanataka nini na watapataje, hata sasa Chadema chini ya Lissu, bado hawajitambui!.
Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.
TAL na Chadema Wasaidiwe!.
Paskali
Hivi kwanini nyie ccm hamtaki kubadili huo mfumoWanabodi

- CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! hapa niliwalaumu Chadema hawajipangi!, hadi sasa chini ya TAL, Chadema haijajipanga na isiposaidiwa, haijipangi!. Huu ni mwaka wa uchaguzi, TAL anazungumzia no reforms no election, amepanga kusimamisha uchaguzi kwa maandamano!. Uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa kwa TAL na Chadema, badala ya kupanga mikakati ya kuchangamkia fursa, watu wanapanga kususia!.
Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.
TAL na Chadema Wasaidiwe!.
Paskali
Wewe Paskali chawa wa uchafuni huna sifa wala moral authority ya kumshauri TAL. Endelea kungojea makombo huenda kuna siku yatakudondokeaWanabodi

- Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?

AWanabodi

- Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition? hili lilikuwa swali la 2020, hata hii 2025 Chadema hawajabadilika!, 2025 Chadema ina fursa, isipobadilika na kuchangamkia fursa, 2025 ni CCM tena!.
- Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! Kama JPM alikuwa Dikiteta... TAL ni zaidi ya JPM!.
- Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu! hii ni hoja ya udikiteta Chadema, TAL ni kama JPM, hivyo TAL akipewa nchi 2025, Keko, Ukonga na Segerea kutafurika!.

Mtu mwenye IQ kubwa tu ndio atamuelewa Paskali. Hawa oya oya wataishia kutukana tu.Wanabodi

- Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA hii ni moja ya Sifa njema za TAL
Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.
TAL na Chadema Wasaidiwe!.
Paskali
Na ndio mtaonyesha ukomavu. Hamuwezi kuruhusu hisia zenu ziwazuie kufika katika nchi ya ahadi. Hapo ndipo Mbowe anapomzidi Lissu. Mbowe aliweza kuziba put na kumkubali Lowassa awe mgombea wa chama kwa kutambua uwezo wake wa kukiongezea chama chake kura na wabunge. Angekuwa Lissu wa sasa, Lowassa angetolewa nje na hivyo kumfanya shame NCCR Mageuzi na hivyo kukipa chama hicho kuwa na nguvu mpya.Hiyo namba 4 imeharibu kila kitu kizuri ulichoandika
Chungulia idadi ya kura za uraisi + uwakilishi bungeni 2015.Baada ya Lowassa kwenda upinzani CHADEMA waliachana na siasa za harakati na kufanya izo siasa unazozitaka je nini kilibadilika kwenye uchaguzi wa 2015 na 2020?