Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Ni nani anayeweza kuongelea vyote ulivyotaja.
 
Mkuu Ben, Benny Haraba , naomba unielimishe kidogo hii kastigatingi kwenye siasa ni nini, sisi wengine vingeleza vyetu ni tulisoma enzi za waalimu wa UPE!.
P
Ni kumuongelea mpinzani wako wa kisiasa mbele ya kadamnasi kuhusu mambo yake mabaya hata kama niyakweli ili jamii imchukie tena kwa dhihaka

Mara nyingi wanasiasa wana maamuzi chanya na hasi ambayo yanaweza kuijenga jamii ama kuibomoa jamii mengi tunayajua hatuna fursa ya kuyaongelea

Kumbe viongozi wa kitaifa wanatakiwa watunze kauli zao

Public figures have to keep their words

TAL has to change, he is leading a political party not a pressure group
 
Mayalla,

Naamini kabisa unaifahamu dhana ya Uongozi iitwayo, 'Situational Leadership'. Kwa faida ya wasioijua, ni dhana inayosema kuwa, 'Uongozi wenye ufanisi, ni ule unatenda kuendana na hali ya mazingira ilivyo'.

Kwa muda mrefu, chini ya FAM, Chadema imetoa 'Upinzani ambao ni so compromising'. Je, umesaidia nini? Umewapa Uraisi, 2019, 2020 na 2024 wameporwa uchaguzi kabla ya siku ya kupiga kura. CCM, si chama cha siasa tena, ni chama dola. Sina hakika kama kuna mahala duniani, Chama dola kiliweza tekeleza haki za kidemokrasia kwa hiari yake.

So, kwa dhana hiyo ya Situational Leadership, Chadema wamefanya sahihi kumchagua TAL. Ndiye kiongozi wa Upinzani anayefaa, kwa mazingira ya sasa.
Kwa mazingira ya sasa Lissu hafai anaenda kuiua chadema. Situational Leadership kwa muktadha wa kisiasa walau uzingatie mambo manne, mosi nguvu ya chama chako kipindi hicho (hali ndani na nje ya chama). pili, nguvu ya chama tawala (ndani na nje ya chama). Tatu, hali ya ushawishi wenu kwa watendaji wa serikali (vyombo vya ulinzi na usalama na watumishi wa umma). Nne, ushawishi wenu kwenye jamii (mf viongozi wa dini, michezo, sanaa). Kwa maoni yangu chadema vitus hivyo kwa sasa hawana na Lissu hana. Uongozi mpya wa chadema ungejikita kwanza katika kazi za ndani ya chama i.e. kuunganisha chama na kisha kitafute kuwa na ushawishi na makundi tajwa hapo juu. Kitu ambacho Mwenyekiti Lissu hakiwezi, kwa kuwa hajawahi kufanya siasa na upatanishi na ushawishi. Mtu sahihi kwa kazi hiyo walau angeweza kuwa Mwenyekiti John Heche.
 
Anafaa sana kwasababu anaongea ukweli ili jamii iamke tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi, jamii unayoweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka taka wewe

Kwasasa inatumika tabia ya unyumbu wa kisiasa kuendesha nchi, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)

Upumbavu ni kipaji, mpumbavu ni mtu aliyebobea kwenye jambo fulani lakini ana mapuuza hatekelezi majukumu yake kwa weledi anajizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo kwasasa uchawa

Kuhusu chaguzi zetu ni chaguzi za mauaji, uporaji haki za mpiga kura kuwaweka madarakani watu ambao hawakuchagulia kihalali

Silent society -jamii iliyo nyamaza ama nyamazishwa swali je jamii Itaendelea kunyamaza hadi lini

Silence surrenders public responsibilities -ukimya ni sawa na kusalimu amri, (nyoosha mikono juu), kuhusu maswala ya kijamii

Huwezi kuendesha shughuri za kiuchumi kwenye jamii mfu tuseme jamii iliyo nyamaza kwavile huwezi kufanikiwa
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

Wewe Pascal na mwenzio Ansbert Ngurumo ni watu hatari sana kwa maendeleo ya Chadema!! Nyie wawili ni mapandikizi/ Askari kipenzi!! Viongozi wa Chadema ya sasa hawana budi kuwaweka mbali .
 
Nilipoanza kusoma nikaona umeanza kwa kumpa maujiko na vyeo kibao, nikajua tu mwisho utamsagia kunguni mazee....😜
Ila TAL anapaswa kupunguza uanaharakati ili ajikite kwenye siasa na hoja pasipo na jazba..😊
Lissu chama kimeshamshinda jana nilikua na leaders wa chadema wanasema hana pesa hajakamilisha wajumbe wa kamati kuu so msajilmyika kaondoshwa kimya kimya ofisini akienda anasoma vmsajiki a batambua kamati ya mboe anatambua watu wa mboe
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

Huu ushauri ningeuelewa kama Uchaguzi wetu ungekuwa ni fair game. Sasa CCM wanavuruga uchaguzi na kuuiba wote halafu badala ya watu kuwanyoshea vidole CCM na Mama Abdul, mnawanyoshea wale wanaojaribu kutafuta solution.

Hivi kweli kwa akili ya kawaida kabisa, kuna sababu yoyote ya Wapinzani kushiriki chaguxi za design ya 2020 au 2024 wa MWENYE KIFUA KIPANA?
 
Siyo chaguzi bali uchafuzi
 
Mwenye kale ka video clip cha Sugu cha ..Maneno meengi,unamaliza miti tu.Angekiweka hapa kangefupisha vya kuandika.
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

Toa summarize tunataka mzee wa vipindi vya sabasaba 😁😂🔥 jaah ni mengi kusoma yanachosha
 
Kingine ni hiki, No reform no election ni Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama na wenye baraka za Mkutano mkuu, hakuna atakayeubadilisha.

Halafu mnataka Chadema iingie kwenye uchaguzi kwa hali hii ambayo mwamuzi wa mwisho ni Mchengerwa ili iweje, Mnataka wauawe wanachadema wangapi ili muelewe hoja ya Chadema?
Yah, Bora kupumzika till 2030, hopefully REFORM zitakuwa done
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

Zamani nilikuovarate, labda kwakuwa ulikuwa bado kijana, ila unavyozidi kuzeeka naona unakuwa utopolo zaidi. Cdm wajipange na uchaguzi wakati unaona chaguzi zinazidi kuwa za kipuuzi. Upuuzi uliojitokeza juzi uchaguzi wa SM za mitaa ulikuwa wazi, ni kipi kinachokufanya uone huo mkuu utakuwa na tofauti hadi utake wafanye siasa za mikakati?

Huu ushauri wako ndio Zito Kabwe anafuata, si huyo anajiliza kila uchaguzi kwa kufanyiwa uhuni? Unataka watu wafanye siasa huku chama chako kinanajisi demokrasia!
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

Mkuu umeanza tena, no reforms no election ndo mpango mzima, wewe si unakumbuka kwenye kura za maoni ,pangekuepo na haki ndani ya chama chenu wafikri ungeweza pata izo kura ulizopata mkuu?
 
Back
Top Bottom