Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Tatizo la Uchumi,Machinga na hayo mengine ni CCM.Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Dear Dr。MA,@doctor mama amon,yes I have allowed。ELEVEN QUESTIONS TO PASCHAL MAYALA
Dear Paschal,, can you allow me to define you in terms of political primitivity, naivity and begotry ?
Thanx.
Dr. MA.
Hivi Samia ana elimu gani?, tukiacha matusi ili nimfahamu rais wetu. Au ni mtaaluma wa nini, Mchumi, engeneer, mwalimu au?Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Nakubaliana naweUshauri wangu kwa CDM ni huu;
1. Waunganishe chama kwa dhati.
Sidhani kama wamefukuzwa Chamani! wanaweza kuhamasisha grassrootHii inawezekana ..watawakaribisha na kutambua mchango na uwezo wa waliokuwa upande wa Freeman Mbowe. Watu kama Kigaila, Suzan Kiwanga na Mwalimu wana uwezo wa uhamasishaji na ku organise at the grassroot level.
TAL anataka watu atakaowaamini. Hawa walikuwa mwiba tena wa kumdhalilisha.Watu kama Ntobi, Nyerere na wengine ni wapambanaji wazuri sana. Watu kama Ruge wasiachwe pembeni.
Nisaidie alitumia lugha gani mbaya! hii nadhani ilinipita.2. Waepuke lugha za uchonganishi kama aliyotumia Lissu dhidi ya Aidan.
Nope! Wassira afanye debate na Heche. Moja ya kanuni za kumshinda mpinzani wako ni kumdhalilisha kwanza, kumuondolewa heshima na kumdogosha. Hapana, mjadala uwe kati yake na Mwenyekiti3. Wakubali mjadala na mwana siasa yeyote kwa sababu itatoa nafasi za bure kunadi sera zao na kuonyesha udhaifu wa upande wa pili. Lissu hapungukiwi kitu kufanya mdahalo na Wasira. Hata Chalamila akiomba mdahalo wamkubalie.
Yaani wakasikilize matokeo! ya 2020 hukuyaona, ya 2024 huku yaona.5. Wajiandae kwa dhati kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na ile ya 2029 na 2030.
Katiba haina muda, ni leo. Ilipaswa kuwa 20146. Wajiandae kupambana ili kuhakikisha kuwa Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2028.
Ushauri mzuri. Watumie website kama chombo cha habari na propaganda7. Waboreshe website yao kwa kutoa kipaumbele kwa wanachama na viongozi wa chini kuliko hawa wa kitaifa.
Ushauri mzuri9. Wawe na mfumo wa wazi wa kuchangia kwa hali na mali.
Amandla....
Ww kama sio Ntobi basi ni Boni kyepe shida yenu moja tu nyie watu wa chadema mnasema mnataka Demokrasia ni haki kabisa mtu achaguliwe akishinda atangazwe!!TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.
Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.
Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Mbona umepanic sana we mjinga?TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.
Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.
Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Yaani unataka cdm wasikie nini wakati kwenye uchaguzi tunaona wakifanyiwa hujuma za wazi? Huu sio ushauri bali ni dua la kuku.TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.
Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.
Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Sawa.Nakubaliana nawe
Buthelezi, na chama chake cha Inkatha Freedom Party kilipigana sana na ANC. Buthelezi alichukuliwa kama kibaraka wa makaburu. Lakini Mandela alimfanya Waziri wa Mambo ya Ndani katika serikali yake. Mbeki alimpa cheo hicho hicho alipomrithi Mandela. Buthelezi alikaimu urais mara 11 wakati Mandela na Mbeki walikuwa nje ya nchi. Sasa kama Mandela aliweza kumuamini Buthelezi ni dhambi gani ambayo Ntobi amefanya kiasi cha kuwa " beyond the pale"?. Kuna usemi kuwa akufuzae hakwambii nenda.Sidhani kama wamefukuzwa Chamani! wanaweza kuhamasisha grassroot
Kumbuka TAL anataka awe na amani kwa watu aliowaamini. Hivi mtu kama Ntobi atamwamini vipi!
Jambo zuri hakuna aliyefukuzwa
Mbona yeye alitumia lugha ya kumdhalilisha Mbowe? Kiongozi hapaswi ku personalise kila pingamizi. Hii ni kwa sababu hata hao anaodhani kuwa wako upande wake wanaweza kumgeuka kama ilivyokuwa kati yake na Mbowe. Mara nyingi ukimuonyesha mtu aliyekukosea magnanimity anakuwa loyal sana. Kwa wakristu, mfano ni Mtume Paul aliyekuwa anaitwa Saul.TAL anataka watu atakaowaamini. Hawa walikuwa mwiba tena wa kumdhalilisha.
Hata hivyo bado wapo Chamani,wanaweza kutoa mchango wao bila kikwazo
Alisema hajawahi kuchangia chochote toka aingie Bungeni. Kwangu mimi ni ishara ya alivyo petty. Nadhani hajamsamehe kwa kusimamia uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha ambapo chaguo lake lilishindwa pamoja na kuwa aliwaomba wazi wajumbe wampigie kura.Nisaidie alitumia lugha gani mbaya! hii nadhani ilinipita.
Atamdhalilishwa vipi? Hivi seriously anategemea Mwenyekiti mwenzake ambai ni Rais afanye debate nae? Mimi ningemshauri afanye nae debate na atumie nafasi hiyo kuonyesha weakness za washindani wake kwa vile atakuwa ana debate na CCM, sio Wassira. Aidha, itaonyesha kuwa yeye hajikwazi na kujiona bora kuliko wengine ambao ni ugonjwq wa wanasiasa wengi.Nope! Wassira afanye debate na Heche. Moja ya kanuni za kumshinda mpinzani wako ni kumdhalilisha kwanza, kumuondolewa heshima na kumdogosha. Hapana, mjadala uwe kati yake na Mwenyekiti
Wajiandae kwa kujikita zaidi kwenye grassroot na kuchagua wagombea ambao kweli watawakilisha matumaini ya watakaompigia kura. Watumie nafasi hiyo kuonyesha mapungufu ya CCM on the ground.Yaani wakasikilize matokeo! ya 2020 hukuyaona, ya 2024 huku yaona.
Wajiandaeje, labda kuna kitu hatujui wengine
Hata kabla ya hapo lakini haikupatikana. Ni kuwa pragmatic tu kuwa hamna namna CCM itakubali Katiba Mpya kabla ya uchaguzi wa Mwaka huu. Uchaguzi ukipitq, Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa na nia ya kuhakikisha anakumbukwa kama kiongozi aliyeleta mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini. Na hata kama atasita, patakuwa na muda wa kutosha wa kufanya mass mobilization iliyo effective. Of course kuna risk ya kuwa ataona hana haja ya kujipendekeza kwa sababu muda wake umeisha.Katiba haina muda, ni leo. Ilipaswa kuwa 2014
Sawa.Ushauri mzuri. Watumie website kama chombo cha habari na propaganda
Sawa.Ushauri mzuri
Mimi nadhani ni sign ya frustration baada ya kutosikilizwa na wenzake. Mchome hajasema hana imani na uongozi bali anataka taratibu zifuatwe. Ni hilo tu na ni rahisi ku sahihisha.Kumjibu Mchome kwa hoja ni kweli lakini pia Mchome angefikiri athari za kumkaribisha Msajili wa vyama katika Chama. Unakumbuka ya CUF na NCCR.
Amekikaanga vipi kwa kusema akidi ya kupitisha wateule haikutimia? Hii ni nafasi nzuri ya uongozi kuonyesha kuwa kila mwanachama ana haki ya kukisoa bila kuhofia repercussions. Watu kama Mchome waanahitajika zaidi kuliko chaa waliojitokeza kwa kutaka kumuingiza Mbowe katika ishu nzima. Hamna hasara katika kujibu tuhuma zake. Na kwq kumuingiza Msajili kuna zuia CCM kuitumia hoja hii hapo baadae kama itajibiwa vizuri. Inawezekana CCM waliliona ( kumbuka wana Msigwa) na walikuwa wanangoja kuliibua wakati lita cause maximum damage k.m. karibu na uchaguzi kusema kuwa Mnyika hastahili kuwa K.M. kwa sababu kikao kilichompitisha yeye na manaibu wake hakikuwa na akidi! Sekretariat itakuwa imekatwa miguu.Mtu kama Mchome unawezaje kumwamini na kukaa naye mkipanga mipango ya Chama.
Fikiria tu, huyu anakikaanga Chama chake maana CCM wanatafuta udhaifu watumie Taasisi zao kudhoofisha Upinzani.
Kamshauri Samia aache sanaa. Ameenda pale kwenye jina "Tume ya uchaguzi" akaongeza hapo kaneno "Huru" akawaambia shangilieni nimewaletea tume huru na nyie mkashangilia. CCM ilishawafanya watanzania kuwa ni majitu ya hovyo hovyo unayoyapeleka utakavyo. Ndiyo maana mnaongozwa na kina Makalla.Wanabodi
Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x
Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.
TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.
Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.
Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.
Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!
meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.
- Nilimshauri Lissu aache uanaharakati aonyeshe statemamship JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship
- 2015 Chadema ilikuwa waingie ikulu lakini kuna makosa waliyafanya, Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... sasa Chadema wana fursa tena ambayo imejotokeza kama zali, wasiridie makosa!
- Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua hapa niliwashauri Chadema namna ya kujinasua, ushauri wangu umefuatwa ndio Chadema hii inayoiona sasa, umeutambua uchaguzi na sio uchavuzi, imelitambua Bunge, imemtambua rais, sasa Chadema inalamba ruzuku ndio hii ipo!.
- Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
- Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane! hapa Chadema walikuwa hawamtambui mbunge wake, baada ya ushauri huu, sasa wanamtambua!.
- Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote! hapa nimewaombea msamaha hawa wabunge, Chadema haina wanawake wowote wa calibre ya Halima Mdee, Ester Bulaya na Esta Matiko!.
- Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini hapa niliilaumu Chadema hawajui wanataka nini na watapataje, hata sasa Chadema chini ya Lissu, bado hawajitambui!.
- CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! hapa niliwalaumu Chadema hawajipangi!, hadi sasa chini ya TAL, Chadema haijajipanga na isiposaidiwa, haijipangi!. Huu ni mwaka wa uchaguzi, TAL anazungumzia no reforms no election, amepanga kusimamisha uchaguzi kwa maandamano!. Uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa kwa TAL na Chadema, badala ya kupanga mikakati ya kuchangamkia fursa, watu wanapanga kususia!.
- Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition? hili lilikuwa swali la 2020, hata hii 2025 Chadema hawajabadilika!, 2025 Chadema ina fursa, isipobadilika na kuchangamkia fursa, 2025 ni CCM tena!.
- Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! Kama JPM alikuwa Dikiteta... TAL ni zaidi ya JPM!.
- Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu! hii ni hoja ya udikiteta Chadema, TAL ni kama JPM, hivyo TAL akipewa nchi 2025, Keko, Ukonga na Segerea kutafurika!.
- Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA hii ni moja ya Sifa njema za TAL
- Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi
TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.
Paskali
Mpaka Lissu akubali ushauri wako, maana ni mbishiWanabodi

Lissu ni mdogo wangu tangu Ilboru,mimi ni kaka yake,nimejitolea kumsaidia, japo ni kweli ni mbishi,dawa ya mbishi sio kumlazimisha bali kumkubalisha kwa nguvu atake asitake!,hata FAM,alikuwa mbishi kupisha uenyekiti,mpaka alipong'olewa kwa nguvu ya umma!。Mpaka Lissu akubali ushauri wako, maana ni mbishi
Siyo chaguzi bali uchafuzi
Naamini mafuvu ya jamii yakirudishiwa akili mabadilko yanakuja binadamu akipata changamoto huamsha ubongo wake na kukabiliana na changamoto kumbe anapofanya hivyo hukumbana na ubunifuYes, Tume inaandaa Uchafuzi Mkuu badala ya Uchaguzi.
Lakini kwa akili ninayoionahumu tayari inaoneka kuwa Watanzania nia ya kuhakikisha kuwa tunafanya uchaguxi wa huru na haki. Yaani wanataka tusubiri CCM waamue which it will never happen.
Na kwa jinsi ninavyomuona huyu Mama, bora JK alikuwa na huruma kidogo kuliko yeye. Kuendeleza Umagufuli unahitaji roho ngumu sana.
Mawazo ya kina Mayalla na wengi yanaonekana kubariki kinachoendelea kwa sasa badala ya kuja na solution.
Unaamini katika chaguzi za sasa za Tanzania? Sasa unataka kushauri nini? Madudu huyaoni au?Lissu ni mdogo wangu tangu Ilboru,mimi ni kaka yake,nimejitolea kumsaidia, japo ni kweli ni mbishi,dawa ya mbishi sio kumlazimisha bali kumkubalisha kwa nguvu atake asitake!,hata FAM,alikuwa mbishi kupisha uenyekiti,mpaka alipong'olewa kwa nguvu ya umma!。
P
Unaamini katika chaguzi za sasa za Tanzania? Sasa unataka kushauri nini? Madudu huyaoni au?
hivi mnapewaga hela ngapi huko fisiem kujizima data na hizo pesa zinamaliza matatizo au zinapooza njaa tu tafuteni mashamba mulime kilimo kinalipa na utaheshimika.Wanabodi
Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x
Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.
TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.
Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.
Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.
Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!
meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.
- Nilimshauri Lissu aache uanaharakati aonyeshe statemamship JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship
- 2015 Chadema ilikuwa waingie ikulu lakini kuna makosa waliyafanya, Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... sasa Chadema wana fursa tena ambayo imejotokeza kama zali, wasiridie makosa!
- Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua hapa niliwashauri Chadema namna ya kujinasua, ushauri wangu umefuatwa ndio Chadema hii inayoiona sasa, umeutambua uchaguzi na sio uchavuzi, imelitambua Bunge, imemtambua rais, sasa Chadema inalamba ruzuku ndio hii ipo!.
- Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
- Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane! hapa Chadema walikuwa hawamtambui mbunge wake, baada ya ushauri huu, sasa wanamtambua!.
- Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote! hapa nimewaombea msamaha hawa wabunge, Chadema haina wanawake wowote wa calibre ya Halima Mdee, Ester Bulaya na Esta Matiko!.
- Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
- Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini hapa niliilaumu Chadema hawajui wanataka nini na watapataje, hata sasa Chadema chini ya Lissu, bado hawajitambui!.
- CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! hapa niliwalaumu Chadema hawajipangi!, hadi sasa chini ya TAL, Chadema haijajipanga na isiposaidiwa, haijipangi!. Huu ni mwaka wa uchaguzi, TAL anazungumzia no reforms no election, amepanga kusimamisha uchaguzi kwa maandamano!. Uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa kwa TAL na Chadema, badala ya kupanga mikakati ya kuchangamkia fursa, watu wanapanga kususia!.
- Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition? hili lilikuwa swali la 2020, hata hii 2025 Chadema hawajabadilika!, 2025 Chadema ina fursa, isipobadilika na kuchangamkia fursa, 2025 ni CCM tena!.
- Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli! Kama JPM alikuwa Dikiteta... TAL ni zaidi ya JPM!.
- Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu! hii ni hoja ya udikiteta Chadema, TAL ni kama JPM, hivyo TAL akipewa nchi 2025, Keko, Ukonga na Segerea kutafurika!.
- Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA hii ni moja ya Sifa njema za TAL
- Lissu apunguze hasira na malipizi, atapendwa na wengi
TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.
Paskali
NotedLissu ni mdogo wangu tangu Ilboru,mimi ni kaka yake,nimejitolea kumsaidia, japo ni kweli ni mbishi,dawa ya mbishi sio kumlazimisha bali kumkubalisha kwa nguvu atake asitake!,hata FAM,alikuwa mbishi kupisha uenyekiti,mpaka alipong'olewa kwa nguvu ya umma!。
P
anataka akunyime ulaji wa kuwa mbunge wa viti maalum uchaguzi ujaoHiyo namba 4 imeharibu kila kitu kizuri ulichoandika