Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Tatizo la Uchumi,Machinga na hayo mengine ni CCM.
 
ELEVEN QUESTIONS TO PASCHAL MAYALA

Dear Paschal,, can you allow me to define you in terms of political primitivity, naivity and begotry ?

Thanx.

Dr. MA.
Dear Dr。MA,@doctor mama amon,yes I have allowed。
Mimi sio msomi,kingereza changu ni cha UPE, ukiniuliza kwa Kiswahili nitakujibu,otherwise,nimekuruhusu kunihesabu kwenye primitivity, naivity and begotry。
P
 
Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Hivi Samia ana elimu gani?, tukiacha matusi ili nimfahamu rais wetu. Au ni mtaaluma wa nini, Mchumi, engeneer, mwalimu au?
 
Ushauri wangu kwa CDM ni huu;
1. Waunganishe chama kwa dhati.
Nakubaliana nawe
Hii inawezekana ..watawakaribisha na kutambua mchango na uwezo wa waliokuwa upande wa Freeman Mbowe. Watu kama Kigaila, Suzan Kiwanga na Mwalimu wana uwezo wa uhamasishaji na ku organise at the grassroot level.
Sidhani kama wamefukuzwa Chamani! wanaweza kuhamasisha grassroot
Kumbuka TAL anataka awe na amani kwa watu aliowaamini. Hivi mtu kama Ntobi atamwamini vipi!
Jambo zuri hakuna aliyefukuzwa
Watu kama Ntobi, Nyerere na wengine ni wapambanaji wazuri sana. Watu kama Ruge wasiachwe pembeni.
TAL anataka watu atakaowaamini. Hawa walikuwa mwiba tena wa kumdhalilisha.
Hata hivyo bado wapo Chamani,wanaweza kutoa mchango wao bila kikwazo
2. Waepuke lugha za uchonganishi kama aliyotumia Lissu dhidi ya Aidan.
Nisaidie alitumia lugha gani mbaya! hii nadhani ilinipita.
3. Wakubali mjadala na mwana siasa yeyote kwa sababu itatoa nafasi za bure kunadi sera zao na kuonyesha udhaifu wa upande wa pili. Lissu hapungukiwi kitu kufanya mdahalo na Wasira. Hata Chalamila akiomba mdahalo wamkubalie.
Nope! Wassira afanye debate na Heche. Moja ya kanuni za kumshinda mpinzani wako ni kumdhalilisha kwanza, kumuondolewa heshima na kumdogosha. Hapana, mjadala uwe kati yake na Mwenyekiti
5. Wajiandae kwa dhati kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na ile ya 2029 na 2030.
Yaani wakasikilize matokeo! ya 2020 hukuyaona, ya 2024 huku yaona.
Wajiandaeje, labda kuna kitu hatujui wengine
6. Wajiandae kupambana ili kuhakikisha kuwa Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2028.
Katiba haina muda, ni leo. Ilipaswa kuwa 2014
7. Waboreshe website yao kwa kutoa kipaumbele kwa wanachama na viongozi wa chini kuliko hawa wa kitaifa.
Ushauri mzuri. Watumie website kama chombo cha habari na propaganda
9. Wawe na mfumo wa wazi wa kuchangia kwa hali na mali.
Ushauri mzuri
Amandla....

Kumjibu Mchome kwa hoja ni kweli lakini pia Mchome angefikiri athari za kumkaribisha Msajili wa vyama katika Chama. Unakumbuka ya CUF na NCCR.

Mtu kama Mchome unawezaje kumwamini na kukaa naye mkipanga mipango ya Chama.
Fikiria tu, huyu anakikaanga Chama chake maana CCM wanatafuta udhaifu watumie Taasisi zao kudhoofisha Upinzani.
 
Mbele kuna mwanga unachomoza!
Hata kama siyo leo, au mwaka huu. Ajenda ni "No reform No election"

Watakomaa kufanya uchaguzi, ila utakuwa vituko na mbovu kuliko ule wa 2020!
Mimi kama CCM damu natamani tufanye reform, uwanja uwe huru, tuwapige wapinzania bila kutegemea dola!
 
TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.

Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.

Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Ww kama sio Ntobi basi ni Boni kyepe shida yenu moja tu nyie watu wa chadema mnasema mnataka Demokrasia ni haki kabisa mtu achaguliwe akishinda atangazwe!!
Lakini we cannot have a selected democracy yaani Lissu akishinda nyie hamtaki mnakuwa Wapinzani ndani ya Upinzani sio bora mje kwetu CCM??

Fikiria mnataka CCM iwape serikali watu kama nyie dhaifu msio na heshima hata kwa viongozi wenu!!! Ccm itatawala miaka 2000
 
TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.

Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.

Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Mbona umepanic sana we mjinga?
 
TAL hashauriki, top to the roof and nobody can touch him.

Wafuasi wake huwaambii kitu wakakusikia... utaitwa majina yote mpaka msaliti na mla rushwa.

Tuache CDM iende inavyoenda, time will tell.
Yaani unataka cdm wasikie nini wakati kwenye uchaguzi tunaona wakifanyiwa hujuma za wazi? Huu sio ushauri bali ni dua la kuku.
 
Nakubaliana nawe
Sawa.
Sidhani kama wamefukuzwa Chamani! wanaweza kuhamasisha grassroot
Kumbuka TAL anataka awe na amani kwa watu aliowaamini. Hivi mtu kama Ntobi atamwamini vipi!
Jambo zuri hakuna aliyefukuzwa
Buthelezi, na chama chake cha Inkatha Freedom Party kilipigana sana na ANC. Buthelezi alichukuliwa kama kibaraka wa makaburu. Lakini Mandela alimfanya Waziri wa Mambo ya Ndani katika serikali yake. Mbeki alimpa cheo hicho hicho alipomrithi Mandela. Buthelezi alikaimu urais mara 11 wakati Mandela na Mbeki walikuwa nje ya nchi. Sasa kama Mandela aliweza kumuamini Buthelezi ni dhambi gani ambayo Ntobi amefanya kiasi cha kuwa " beyond the pale"?. Kuna usemi kuwa akufuzae hakwambii nenda.
TAL anataka watu atakaowaamini. Hawa walikuwa mwiba tena wa kumdhalilisha.
Hata hivyo bado wapo Chamani,wanaweza kutoa mchango wao bila kikwazo
Mbona yeye alitumia lugha ya kumdhalilisha Mbowe? Kiongozi hapaswi ku personalise kila pingamizi. Hii ni kwa sababu hata hao anaodhani kuwa wako upande wake wanaweza kumgeuka kama ilivyokuwa kati yake na Mbowe. Mara nyingi ukimuonyesha mtu aliyekukosea magnanimity anakuwa loyal sana. Kwa wakristu, mfano ni Mtume Paul aliyekuwa anaitwa Saul.
Nisaidie alitumia lugha gani mbaya! hii nadhani ilinipita.
Alisema hajawahi kuchangia chochote toka aingie Bungeni. Kwangu mimi ni ishara ya alivyo petty. Nadhani hajamsamehe kwa kusimamia uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha ambapo chaguo lake lilishindwa pamoja na kuwa aliwaomba wazi wajumbe wampigie kura.
Nope! Wassira afanye debate na Heche. Moja ya kanuni za kumshinda mpinzani wako ni kumdhalilisha kwanza, kumuondolewa heshima na kumdogosha. Hapana, mjadala uwe kati yake na Mwenyekiti
Atamdhalilishwa vipi? Hivi seriously anategemea Mwenyekiti mwenzake ambai ni Rais afanye debate nae? Mimi ningemshauri afanye nae debate na atumie nafasi hiyo kuonyesha weakness za washindani wake kwa vile atakuwa ana debate na CCM, sio Wassira. Aidha, itaonyesha kuwa yeye hajikwazi na kujiona bora kuliko wengine ambao ni ugonjwq wa wanasiasa wengi.
Yaani wakasikilize matokeo! ya 2020 hukuyaona, ya 2024 huku yaona.
Wajiandaeje, labda kuna kitu hatujui wengine
Wajiandae kwa kujikita zaidi kwenye grassroot na kuchagua wagombea ambao kweli watawakilisha matumaini ya watakaompigia kura. Watumie nafasi hiyo kuonyesha mapungufu ya CCM on the ground.
Katiba haina muda, ni leo. Ilipaswa kuwa 2014
Hata kabla ya hapo lakini haikupatikana. Ni kuwa pragmatic tu kuwa hamna namna CCM itakubali Katiba Mpya kabla ya uchaguzi wa Mwaka huu. Uchaguzi ukipitq, Mwenyekiti wa CCM anaweza kuwa na nia ya kuhakikisha anakumbukwa kama kiongozi aliyeleta mabadiliko makubwa ya kisiasa nchini. Na hata kama atasita, patakuwa na muda wa kutosha wa kufanya mass mobilization iliyo effective. Of course kuna risk ya kuwa ataona hana haja ya kujipendekeza kwa sababu muda wake umeisha.
Ushauri mzuri. Watumie website kama chombo cha habari na propaganda
Sawa.
Ushauri mzuri
Sawa.
Kumjibu Mchome kwa hoja ni kweli lakini pia Mchome angefikiri athari za kumkaribisha Msajili wa vyama katika Chama. Unakumbuka ya CUF na NCCR.
Mimi nadhani ni sign ya frustration baada ya kutosikilizwa na wenzake. Mchome hajasema hana imani na uongozi bali anataka taratibu zifuatwe. Ni hilo tu na ni rahisi ku sahihisha.
Mtu kama Mchome unawezaje kumwamini na kukaa naye mkipanga mipango ya Chama.
Fikiria tu, huyu anakikaanga Chama chake maana CCM wanatafuta udhaifu watumie Taasisi zao kudhoofisha Upinzani.
Amekikaanga vipi kwa kusema akidi ya kupitisha wateule haikutimia? Hii ni nafasi nzuri ya uongozi kuonyesha kuwa kila mwanachama ana haki ya kukisoa bila kuhofia repercussions. Watu kama Mchome waanahitajika zaidi kuliko chaa waliojitokeza kwa kutaka kumuingiza Mbowe katika ishu nzima. Hamna hasara katika kujibu tuhuma zake. Na kwq kumuingiza Msajili kuna zuia CCM kuitumia hoja hii hapo baadae kama itajibiwa vizuri. Inawezekana CCM waliliona ( kumbuka wana Msigwa) na walikuwa wanangoja kuliibua wakati lita cause maximum damage k.m. karibu na uchaguzi kusema kuwa Mnyika hastahili kuwa K.M. kwa sababu kikao kilichompitisha yeye na manaibu wake hakikuwa na akidi! Sekretariat itakuwa imekatwa miguu.

Amandla...
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

Kamshauri Samia aache sanaa. Ameenda pale kwenye jina "Tume ya uchaguzi" akaongeza hapo kaneno "Huru" akawaambia shangilieni nimewaletea tume huru na nyie mkashangilia. CCM ilishawafanya watanzania kuwa ni majitu ya hovyo hovyo unayoyapeleka utakavyo. Ndiyo maana mnaongozwa na kina Makalla.

Nenda kamshauri Samia aache sanaa utakuwa umefanya la maana.
 
Mpaka Lissu akubali ushauri wako, maana ni mbishi
 
Lissu ni mdogo wangu tangu Ilboru,mimi ni kaka yake,nimejitolea kumsaidia, japo ni kweli ni mbishi,dawa ya mbishi sio kumlazimisha bali kumkubalisha kwa nguvu atake asitake!,hata FAM,alikuwa mbishi kupisha uenyekiti,mpaka alipong'olewa kwa nguvu ya umma!。
P
 
Siyo chaguzi bali uchafuzi

Yes, Tume inaandaa Uchafuzi Mkuu badala ya Uchaguzi.

Lakini kwa akili ninayoionahumu tayari inaoneka kuwa Watanzania nia ya kuhakikisha kuwa tunafanya uchaguxi wa huru na haki. Yaani wanataka tusubiri CCM waamue which it will never happen.

Na kwa jinsi ninavyomuona huyu Mama, bora JK alikuwa na huruma kidogo kuliko yeye. Kuendeleza Umagufuli unahitaji roho ngumu sana.

Mawazo ya kina Mayalla na wengi yanaonekana kubariki kinachoendelea kwa sasa badala ya kuja na solution.
 
Naamini mafuvu ya jamii yakirudishiwa akili mabadilko yanakuja binadamu akipata changamoto huamsha ubongo wake na kukabiliana na changamoto kumbe anapofanya hivyo hukumbana na ubunifu
 
Lissu ni mdogo wangu tangu Ilboru,mimi ni kaka yake,nimejitolea kumsaidia, japo ni kweli ni mbishi,dawa ya mbishi sio kumlazimisha bali kumkubalisha kwa nguvu atake asitake!,hata FAM,alikuwa mbishi kupisha uenyekiti,mpaka alipong'olewa kwa nguvu ya umma!。
P
Unaamini katika chaguzi za sasa za Tanzania? Sasa unataka kushauri nini? Madudu huyaoni au?
 
Kuna Watanzania wengi wanaamini kuwa yanayoendelea kwa sasa ni sawa tu. Kwa vile wanajilinganisha na nchi kama DRC na Burundi. Yaani hawaoni au kuelewa kuwa Wanachokifanyz CCM leo hata Mkoloni Mweupe hakuwafanyia Wazazi wetu.
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, ana baadhi ya madhaifu ambayo anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika na kuachana nayo, abadilike kutoka TAL mwanaharakati awe transformed into TAL mwenye statemanship!.

TAL has always been mwanaharakati wa uchechemuzi, sasa TAL kama kingozi mkuu wa Chadema ni
lazime abadilike kuachana na TAL mwanaharakati, into TAL mwenye leadeship and president in waiting!.
Hakuna binadamu yoyote ni mkamilifu, hivyo hata TAL sio mkamilifu, moja ya weakness yake kubwa, he is not a good team player, as a result he is a bad liability as the top leader, uthibitisho ni huu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Ila mtu ukiwa na udhaifu fulani, unaweza kuutumia for your advantage. TAL is a liability ambayo hiyo liability can be transformed into an asset kama nilivyo shauri hapa Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

Hivyo hivi vibwagizo vya uanaharakati, no reforms no election ni utopian politics, Chadema lazima ijikite into real politics , siasa za mikakati, politics of engegement, vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Japo wengi humu tunafahamiana kutokana na post za humu, sio members wengi wako real, hivyo sio vibaya from time to time mtu kujitambulisha tena na tena, mimi japo kazi yangu ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitemea kwa kujitolea, pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, kazi inayoniweka mjini, sio kazi ya uandishi, utangazaji au uwakili, hivi vyote nafanya bure kwa kujitolea tuu kutokana na mapenzi yangu kwa uandish wa habari, utangazaji na uwakili, kazi inayoniweka mjini ni kazi nyingine kabisa, tena mimi ni kada wa chama cha siasa na sio Chadema, lakini nimeguswa kujitokeza kumsaidia TAL na Chadema kwasababu ya uzalendo wangu kwa nchi yangu, TAL na Chadema ni fursa kwa adhimu na adimu kwa uchaguzi wa 2025. Mwanzo niliwashauri wapinzani Pre GE2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030! lakini sasa kama zali tuu, fursa imeibuka kupitia TAL, kama ile fursa ya uchaguzi wa 2015 kupitia ENL, imejirudia 2025!

meisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,
Natoa wito, kwa watu wowote, wenye uwezo, kutoka popote hata wana CCM, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, kwa kuishauri kuwa uchaguzi mkuu wa 2025, Chadema ina fursa!, hii ni fursa adhimu na fursa adimu kwa Chadema kuichangamkia, muda uliobaki kabla ya uchaguzi, sio rafiki kufanya siasa za kiharakati, huu ni muda wa kufanya siasa za kimikakati ya ushindi, tena namshauri TAL na Chadama wakumbatie falsafa ya pragmatism politics, wawe pragmatic and do what is possible!.

TAL na Chadema Wasaidiwe waachane na utopian politics, wafanye real politics, the time is almost too little too short!, hakuna muda wa kupoteza!.

Paskali

hivi mnapewaga hela ngapi huko fisiem kujizima data na hizo pesa zinamaliza matatizo au zinapooza njaa tu tafuteni mashamba mulime kilimo kinalipa na utaheshimika.
 
Lissu ni mdogo wangu tangu Ilboru,mimi ni kaka yake,nimejitolea kumsaidia, japo ni kweli ni mbishi,dawa ya mbishi sio kumlazimisha bali kumkubalisha kwa nguvu atake asitake!,hata FAM,alikuwa mbishi kupisha uenyekiti,mpaka alipong'olewa kwa nguvu ya umma!。
P
Noted
 
Back
Top Bottom