Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

Jamaa wapo vizuri sana Igbo sio mchezo. Na kabila la Ashanti nchini Ghana nao wapo vizuri.

East Africa ni Wakikuyu na Wachagga
 
Ombaomba ni kwa sababu ya kuwa wengi zaidi .
.Nigeria kwa tajiri mkubwa ni Dangote ila ukienda kwa uwiano matajiri wa kati wengi ni igbo ...
Kwahiyo kabila likiwa kubwa ndio wanakuwa ombaomba wengi mbona wasukuma hawapo hivyo?
 
Hili kabila nalipenda sana kwa sababu ya:
1.Okocha
2.Kanu
3.Mikel Obi
4.Stephen Keshi
5.Sunday Oliseh
EE MUNGU NIBARIKI SIKU MOJA NIFIKE NIGERIA
 
Sifa zinawacost wayoruba hata yule Hushpapi alikamtwa kwajili ya showoff

Lagos ni mji wa wayoruba ila wanaotengeneza pesa ni waigbo
Hushpup hakukamatwa kwa sababu ya sifa, bali aliuvuka mstari mwekundu baada ya kuanza kufanya kazi na Korea kasikazini, ndipo hapo CIA wakamkamata
 
Hausa wamesoma na wana hela usidanganye umma.. Mbona huko makabila mengine hawakutoka akina Dangote
 
Hausa wamesoma na wana hela usidanganye umma.. Mbona huko makabila mengine hawakutoka akina Dangote
Kwa Hali hii kuna system ilianzishwa inaitwa Quota Sytem, Mitihani ya sekondari kwenda vyuoni huwa ina maksi 400 kwa ujumla, Marks za kuingia vyuoni ni tofauti kulingana na ukanda na jamii za wanaiheria, Muhausa akipata marks 150 anaingia chuo, Myoruba inabidi apate 200, kwa waigbo kamba imekazwa sana inabidi wapate kuanzia 250.
 
Kuna la kujifunza kwao!
 
Wakikuyu kenyatta alivyotwaa uhuru alikuwa mbinafsi akajichukulia ardhi yenye rutuba akawapa kabila lake , hakuwa Kama Nyerere ama Mandela. Yule aliuza nchi yake kenyatta ,na ndio ukabila unawasumbua mno Kenya. Kumbuka mwalimu kutoka singida hawezi kwenda kufundisha let say mbeya. Wanaishi kikabila hawana umoja wa kitaifa
 
Acha chuki na uislamu,hizi pumba ulizo andika hazina ukweli, na wala huja wahi kanyaga ardhi ya Nigeria hivyo ulivyo andika umezua ishu nyingi Tu ni uongo uongo kusifu wakristo wenzio wa Igbo lakini mambo machafu wanayo fanya husemi,pia hizo data ni propaganda
 
Yaan kuna mazuzu hii nchi balaa!
ushaugeuza uzi wa kidini
 
Kabila la Igbo ndilo kundi la kwanza la western luo lililogawanyika kutokea mto Nile Misri miaka 1000 iliyopita kabla ya kundi jingine la wajaluo kujigawa na kuingia Ethiopian Sudan Kusini Uganda Congo Kenya na Tanzania.
Pana 70% similarities language btn Luo and Igbo,Igbo wengi majina yao Yana O same to wajaluo.
 
Weka ukweli
 
Hush puppy kilicho mponza ni ili.
Baada ya marekani na mataifa mengine kudukuliwa na mifumo ya benk sana na kuingizwa kwenye crypto na jamaa mmoja kutoka north korea na ni wanted duniani ambaye udukuzi wa mabenki wa pesa ulikuwa ukipeleka pesa hash puppy na pesa hizo zilitumika kwenda north korea kwa ajili ya kiduku na mabomu yake.
 
Mada fikirishi sana najaribu kuvutia picha kabila la wachaga hapa kwetu kuanzia, kisiasa,kiuchumi,kijamii n.k ukweli mchungu ndio kabila lenye nguvu na lipo kila kona ila utawala unaogopa kuwapa nafasi kisiasa hata Maendeleo kwao ni kma msaada ila sio lazima kama project mbali mbali zinazofanyika mikoa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…