Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Hivi hawa wa Igbo ndio wako associated na Ile vita ya Biafra ? ambao muongozo maalum/waraka ulitoka kwa Papa kuwa Wakatoliki wote duniani wawaunge mkono, hapa kwetu Tz Baba wa Taifa akatuburuza kuunga mkono kujitenga kwa Biafra. ?