Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Wizara husika imchunguze Pastor Dominick (kiboko ya wachawi)

Wakristo hata awe na degree mia
Lkn kwenye maswala haya hopeless hujawahi ona. Waacheni wapigwe na wafe tu hamna namna majinga sana
 
Wakristo hata awe na degree mia
Lkn kwenye maswala haya hopeless hujawahi ona. Waacheni wapigwe na wafe tu hamna namna majinga sana
Mjadala huu si wa leo kwamba "wakristo" sikiliza leo waendao wapo pia kina asha,halima na juma,Kateka wengi mkuu
 
Wakristo ni nyumbu mkuu. Hawasaidiki waache waibwe. Mimi tuligombana na mama kisa malisa wake.
Badae ndo akaja kunielewa but amechelewa na kuliwa sana Hela
Mjadala huu si wa leo kwamba "wakristo" sikiliza leo waendao wapo pia kina asha,halima na juma,Kateka wengi mkuu
 
Picha ya bwana mchungaji tafadhali tumw
wachawi.jpg
 
Naomba kuwasilisha hoja/ mjadala juu ya huyu kiboko ya Wachawi, Serikali inapaswa kumchunguza kupitia wizara husika kabla hatujafika hatua ya Mackenzie wa Kenya, wanaanzaga taratibu baadae yatakua makubwa.

1. Mahubiri yake na maombi ni chonganishi(ni kama ramli), anagombanisha ndugu bila ushahidi.

2. Simu zake za wagonjwa ni za mchongo wanapangwa(staged miracles).

3. Mamlaka husika zichunguze miamala ya account zake kuna element za utakatishaji fedha(MUHIMU SANA)

4. Radio times 100.5 kama wanaweza wasijali pesa za kurushia matangazo wasikilize kinachofanyika kisha waamue kuendelea kutangaza ama wanawe mikono kama pilato kwa kukwepa hatia ya siku za usoni.
Nikiweka hapa taarifa za siri na uhakika kuhusu huduma ya kiboko ya wachawi kesho watu hawataki kwenda pale ,najua mengi na nimejuta kuyajua I was one core

USSR
 
Nikiweka hapa taarifa za siri na uhakika kuhusu huduma ya kiboko ya wachawi kesho watu hawataki kwenda pale ,najua mengi na nimejuta kuyajua I was one core

USSR
Mwamposa mwaka wa kumi huu siri zake zipo nje na still nyomi.
Mjini hapa fata yako
 
Back
Top Bottom